Wakuu,
Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka.
Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko...
Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu!
Imegundulika kuwa kuna MWAFAKA WA SIRI WA TANZANIA BARA kati ya CCM na CUF...
BABATI wameanza kuhesabu kura upya baada ya CCM kuendesha uchakachuaji...NCCR wamegoma kwani ni ngome yao! Source ITV
Habari zaidi... Mawakala wa NCCR Mageuzi wanadai mgombea wao alishinda kwani...
Majimbo mengi ambayo CCM imeishinda Chadema tofauti ya kura ni ndogo lakini tofauti ya uwakilishi bungeni itakuwa kubwa kwa sababu viti maalumu vinagawiwa kwa kuzingatia idadi ya wabunge Bungeni...
Tanzania nzima wananchi wanapigwa na polisi, mabomu, virungu, risasi etc.
Haya yote ili kulazimisha wewe na familia yako muendelee kuitawala na kuifilisi nchi yetu.
Swali dogo kwako, Utaua...
Vicent Nyerere ni mbunge mteule kwa jimbo lake ambalo sijalinasa jina ila ni hukooo kwa akina mura...kwa asilimia 59. Source, taarifa ya habari Radio One.
Tunawaomba wanaohusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambie kama haya matokeo yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo...
Taarifa toka Ulanga Magharibi zinasema Mponda amepata 18,0000 na Prof Mlambiti amepata 15,000. Kwa wale vijana sana Urafiki Jazz Band ilikuwa inatumia mtindo wa Chakachua Ngoma!
LICHA YA KUTANGAZA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO NA MNYIKA KUSHINDA LAKINI WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE YUPO HAPA ANATANGATANGA HUKU NA KULE. SWALI:- KAFATA NINI HAPA? WANATAKA KUCHAKACHUA KULA...
Hongera dada Halima kwa kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Kawe. Kwa jinsi nilivyokufahamu kwa muda mfupi ninahakika wananchi wa kawe hatajutia uamuzi wao. Nakutakia kila la kheri na pia...
Wadau,
Kwa hali hii, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. mweee.. Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume...
Kijana Livingstone Lusinde (Kibajaji) aliyemuangusha John Samwel Nigwiyemisi Malecela kwenye kura za maoni za CCM ameshinda Ubunge wa Mtera.
Livingstone Lusinde - CCM - 23,612
Lameck Lubote -...
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.