Wanajamii,
Pamoja na kudhulumiwa viti vyetu vingi vya uwakilishi wa kweli wa wananchi (CHADEMA) bado mpaka sasa kuna matokeo ya viti 64 ambayo hayajajulikana. Vipi katika hayo majimbo...
Kibaha mjini
Segerea
Shinyanga mjini
karagwe
Kigoma mjini
Mbeya vijijini
Sumbawanga vijijini
Tarime
Kilombero
ulanga magharibi
Mbozi mashariki
hanang
Busanda
Muleba
Nkasi
Ukonga
Majimbo haya...
Zipo taarifa toka kwa Watu kuwa CCM wamemshawishi Kinana achukue Form ya Kugombea U-spika. Huyu jamaa akipata, bungeni atakuwa spika yeye, waziri yeye, waziri mkuu yeye, serikali yeye, kwa jinsi...
Wana JF, naomba nielimishwe, kwanini JK analazimishwa ushindi wa kishindo? Wabunge wa viti maalumu wanategemea kura za rais au za wabunge wa majimbo? Nimekuwa natafakari sana kuna umuhimu gani wa...
Kazi ya kwanza tunayowatuma Madiwani wa Chadema pa1 na wabunge wetu ambao kwa idadi yao watakuwa wana icontrol Halmashauri ya Jiji nikutuondolea hii Takataka(Wilson Kabwe)ni lazima aondoke,Ushenzi...
Hapa nawaza tu...ni vitu ambavyo vinawezekana kufanyika kwani kwa sasa lengo la CCM litakuwa kupunguza nguvu ya upinzani na kuwagawa.
Hivi ikitokea JK akampa Zitto au mmojawapo wa wabunge...
Zito kabwe mbunge mteuliwa wa kigoma kaskazini alikuwa kigoma mjini kumtetea mgombea mwenzake wa chadema huko kigoma mjini ambapo jimbo hilo lina utata na kuna dalili kuwa ccm wanataka kuchakachua...
Makamba juzi alitangaza kuwa wote wenye nia ya kugombea nafasi ya uspika na unaibu spika wakachukue form hizo kwenye ofisi za CCM na gharama ya form ni sh. 500,000. Pia alisisitiza kuwa si...
Kwanza naomba niwapongeze wana Kigoma kwa kuonyesha moyo wa dhati wa mageuzi ya kweli. Kigoma wamewanesha watanzania kuwa wamechoshwa na utawala dhalimu wa CCM. Sasa Kigoma imekuwa ngome ya...
M/kiti wa tume ya uchaguzi wa TZ alipoulizwa kwanini matokeo ya urais anayotangaza yanatofautiana na yaliyobandikwa kwenye vituo alijibu kuwa hayo yaliyobandikwa hayajahakikiwa kwani wanaohakiki...
Jk cannot afford to ignore this mans experience. Minister of Tourism and Natural resources...
Tourism executive elected to join Tanzania parliament
TANZANIA (eTN) - In an unprecedented...
Haiwezekani hapa Arusha pamoja na CHADEMA kushinda kiti cha ubunge, madiwani nao pia ni wa kumwaga alafu eti Kikwete anaongoza kwa kura. Hivi hawa CCM na NEC watufanya sisi watanzania wapumbavu...
Amekuwa anapigania 'haki na usawa' katika visiwa vya Zanzibar kwa miongo kadhaa.
Keshakumbana na misukosuko kadhaa katika upiganaji wake
Amekuwa anadai kila mara kuwa serikali ya CCM huwa...
]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk...
Nakupongeza sana Abood kwa kushinda kiti cha ubunge. Naamini ndoto zako na malengo yako uliyohangaikia kwa miaka mingi, leo yametimia. Naamini umeshaandika historia, bila shaka hilo ndio lilikuwa...
Jana nilisoma gazeti la mwananchi likidai msimamizi wa uchaguzi jimbo la segerea alikamatwa akitoka kununua chakula, alipopekuliwa alikutwa na nyara za tume ya uchaguzi, ikiwa pamoja na mihuri...
Its very sad that Bro Edo traved all the way from Monduli kuja kusaport Dr. Batilda asisain defeat.
Rumours are that they even negotiated kumnunua Lema @TSHS 900MILLION from different sources.
Why...
Katika khali ya kuuponda ushindi wa mezani wa JK waangalizi wa kimataifa wametoboa ya kuwa siyo sahihi hata kidogo kwa Raisi ambaye naye ni mgombea na chama chake kinagombea uchaguzi huohuo na...
GAZETI LA MWANAHALISI LILITABIRI KILA KITU KINACHOTOKEA HIVI SASA SOMA HAPA CHINI. MWANAHALISI YA OCTOBER 6.2010.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya...