Nampa Abdulazziz Abood Miaka 5 ya kuwakilisha Morogoro

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,189
Points
1,500

Tuko

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
11,189 1,500
Nakupongeza sana Abood kwa kushinda kiti cha ubunge. Naamini ndoto zako na malengo yako uliyohangaikia kwa miaka mingi, leo yametimia. Naamini umeshaandika historia, bila shaka hilo ndio lilikuwa lengo lako.

Nakupa miaka hii 5 ya kuwa mbunge, baada ya hapo ubunge tunauchukua CHADEMA. Kumbuka maneno yangu, ni miaka mitano kaka. Ukiwa muungwana basi zingatia kutekeleza malengo yako sasa ili hiyo 2015 usigombee tena. Lakini binafsi napenda ugombee tena ili nithibitishe maneno yangu...
 

Forum statistics

Threads 1,389,714
Members 528,016
Posts 34,032,533
Top