Ya kivuitu wa kenya kutokea tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya kivuitu wa kenya kutokea tanzania?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mmaroroi, Nov 4, 2010.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  M/kiti wa tume ya uchaguzi wa TZ alipoulizwa kwanini matokeo ya urais anayotangaza yanatofautiana na yaliyobandikwa kwenye vituo alijibu kuwa hayo yaliyobandikwa hayajahakikiwa kwani wanaohakiki ni TUME.Je kuhakiki ni kubadilisha tarakimu?Wanaofahamu watujuze.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuna mtu alipata kunambia kuwa kuna sensor fulani inayotambua mtu anaposema UWONGO...Sijui kinauzwa bei gani kifaa hiki, lakini kingesaidia sana endapo tungemuwekea huyu Makame wakati akionge kauli hizi, maana alikuwa anatokwa jasho sana, na uso wake ulionyesha mashaka!!
  Lakini uwongo uzeeni ni mbaya sana, maana unaweza kumrudi kwa kumpa pressure yeye mwenyewe, mkastuka anaanguka!
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mzee mwenyewe kachoka kweli hadi wakati mwingine anakumbushwa mambo kutokana na kusahau wakati anatangaza matokeo.Kwanini alikataza matokeo ya urais kutangazwa kwenye vituo wakati yamebandikwa vituoni?
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mwenyenzi Mungu aishivyo uongo wake utamrudi mara tu akimaliza kutangaza matokeo yake ya uongo.
   
Loading...