Elections 2010 Mpaka hivi sasa (siku 4) bado matokeo ya majimbo haya hayajajulikana...!

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Wanajamii,

Pamoja na kudhulumiwa viti vyetu vingi vya uwakilishi wa kweli wa wananchi (CHADEMA) bado mpaka sasa kuna matokeo ya viti 64 ambayo hayajajulikana. Vipi katika hayo majimbo yaliobakia nguvu yetu (CHADEMA) ya kushinda bado ipo? au bado CCM wanaendelea na uchakachuzi? :thinking::deadhorse: Manake naona hawa jamaa wanatufanya kama kondoo vile sasa...!

Washindi mbalimbali wa uwakilishi Serikalini 2010-2015 -
 
kiukweli hayo majimbo kwenda upinzani ni %0.0000001
wameshachakachua vya kutosha na JK watakuwa wamempa kura nyingi bila soni huku wakisahau kuwa watanzania sio mawe ambayo yapo tu hata ukiligonga haliongei,wanatudharau sana ,wanatuona ss ni watoto wadogo,wanacheza na mind zetu wanafikiri kuwa sisi ni ile product yao ya shule za kata .
 
Hamuwezi jua maana nani alijua kuwa CHADEMA ingepeta huko Ukerewe, Rombo, Nyamagana, Ilemele, Kilombelo, Buchosa etc? Hivyo mimi sina wasiwasi kama hakuna kuchakachua basi yapo mengine yanakuja.
 
Ungetaja maeneo hayo ungerahisisha...sehemu zingine tukizisikia tu tunajua kitakachoendelea, wala hatuhitaji BESENI LA MAJI!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom