Wana JF, naomba nielimishwe, kwanini JK analazimishwa ushindi wa kishindo? Wabunge wa viti maalumu wanategemea kura za rais au za wabunge wa majimbo? Nimekuwa natafakari sana kuna umuhimu gani wa kupata ushindi wa kishindo ili hali watanzania wengi wanaona kwamba atashinda lakini sio kwa asilimia hizo anazolazimisha?