Kuna vitu ambavyo vinanifanya nijiulize, kwa nini Seif kakubali matokeo haraka sana?
Je ni kwa sababu ya kuleta amani ZNZ?, au ni kwa sababu kaamua kugive up, kwa sababu kachoka kushindana na CCM?
Kama idea yake ilikuwa ni kuleta Amani ZNZ, inamaanisha kwamba alikuwa anapoteza muda wote ule kushindana na CCM. Kwa sababu, kuna watu walikufa kwa sababu walikuwa wanaamini kwamba CUF ndiyo chama kilichoshinda. Sasa kwanini, alikuwa mkaidi kuhusu CCM, wakati akijua kabisa kwamba object yake ni kuleta amani ZNZ, na siyo mabadiliko.
Object ya Mandela ilikuwa tofauti kabisa na Seif. Mandela aliweza kukamilisha kile alichokuwa anakitaka kwa ajili ya maslahi ya S. Africa.