Nachelea kusema kuwa mamlaka aliyopewa Rais kuunda tume ya uchaguzi anyang'anywe mara moja kwani hapo hakuna democrasia hata kidogo. Nafikiri ijumuishe pia wapinzani ili kuondoa huu upuuzi...
naomba unisaidaie kupeleka habari hii kwa wana jamii kwamba nyumba iliyopo kwembe mpakani kilomita 2 kutoka barabara ya mororgoro ukipitia pale kituo cha mafuata cha natoil kabla ya kibamba...
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa...
Mtalalamika sana ila ndio hivyo CCM inatesa kwa zamu ,safari hii inaipa kisago Chadema mtapiga makele mengi sana ila karibu NEC watapigilia msumari wa mwisho,
Je mtaweza kufanya maandamano nchi...
Wana chadema, Tuwaombe Viongozi wote wa chadema wasome hii topic kuwa kwa majiji na halmashauri walizochukua wahakikishe wanafanya vizuri sana ili mwaka 2015 iwe sample kwa miji mingine pia kwa...
Je? Hivi sheria zetu zinaruhusu AMRI ya mahakama kusitisha shughuli za NEC kwa manufaa ya usalama wa raia pindi ikipoke malalamiko halali? Naamini tuna kila aina ya ushahidi kuthibitisha Tume ina...
Nimesikia Clouds fm sasahivi kwamba Mahanga na Mwakiposa wa CCM wameshinda katika majimbo ya Segerea na Ukonga respectively,mliokuwa Arnatouglo tupeni data kamili!
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa...
SPIKA wa Bunge lililomaliza muda wake, Samuel Sitta, amesema Bunge lijalo litakuwa tishio na anatamani kuwa spika wake.
Sitta alitoa kauli hiyo jana muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa...
Nilikuwa nje kidogo ya kijiji kwa hiyo kwa muda sikuwa na taarifa za nini kinaendelea. Baada ya majaribio ya karibu siku tatu hatimaye kura zimetosha kwa CCM. Regia aliweka wakala kwenye kila...
Hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.
Kama mtakuwa careful...
Hivi wadau haiwezekani kumshawishi yule aliyeshinda jimbo la Dr.Slaa ajiuzulu baada ya kuapishwa ili uchaguzi urudiwe Slaa agombee arudi mjengoni? Sheria inasemaje kwenye hili? Itakuwa pengo kubwa...
Waangalizi Madola: Uchaguzi haukuwa na uwanja sawa (Source: :: IPPMEDIA)
WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA EU, AU NA ICGLR WASEMA UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI, UTULIVU NA AMANI (Source: MICHUZI)...
Napenda kuwajulisha kuwa kizazi kipya kimeamka kinataka mabadiliko. Anzia kwenye kura za maoni za CCM vijana ndio waliowabwaga vikongwe, Ukija sasa kwenye uchaguzi wenyewe wote mmshuhudia vijana...
Taarifa zisizo rasmi zinasema JK alikuja Mza kujalibu ku'rescue' situation, na moja ya mbinu mbovu iliyotumiwa baada ya zote kugonga mwamba ilikuwa akubali kupokea kiasi hicho ili JK atimize azma...
Wednesday, 03 November 2010 05:18
Na Mwananchi
MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Dk Willibrod Slaa amesema, atayakataa matokeo ya urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.