Yaliyotokea kwenye majimbo haya yamenisikitisha sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyotokea kwenye majimbo haya yamenisikitisha sana

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Nov 3, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kibaha mjini
  Segerea
  Shinyanga mjini
  karagwe
  Kigoma mjini
  Mbeya vijijini
  Sumbawanga vijijini
  Tarime
  Kilombero
  ulanga magharibi
  Mbozi mashariki
  hanang
  Busanda
  Muleba
  Nkasi
  Ukonga

  Majimbo haya usingekuwa uchakachuaji, yalishakuwa mikononi mwa chadema, na CCM walishapoteza udhibiti wa bunge theluthi mbili ya kupitisha maamuzi. Kwa ujanja wakahakikisha kuwa tukichanganya wapinzani wote tuishie below 60 seats.
  imenisonosesha na kuumiza roho yangu.

  Ipo siku hukumu ya watanzania itawashukia CCM na mafisadi wao.

  Ee Mungu tunakuomba uwatie nguvu watanzania ili wajinasue katika minyororo ya CCM kabla ya mwaka 2015. Amen
   
 2. Victory 1

  Victory 1 Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amen
   
 3. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kinachotakiwa ni kufungua kesi za pingamizi bila kuchelewa
   
 4. a

  allydou JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  you are right bro.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hayo majimbo mbona yatarudi Lissu namwaminia pamoja na Marando by next year hayo majimbo yako CHADEMA
   
 6. n

  nomita Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amen mungu ajalala ipo cku kilio chetu atakisikia watanzania.....chenye mwanzo kina mwisho......
   
 7. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Mkuu Bukombe si wameshinda Chadema?
   
 8. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Nilimaanisha Busanda
   
 9. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Wazo la kufungua kesi ni zuri sana. kufungua kesi 16 katika majimbo hayo itatakiwa kuwa shs.5, 000,000 x majimbo 16 = shs.80,000,000
  Hizi si pesa nyingi ukilinganisha na manufaa ya kushinda kesi hizo


  Manufaa
  • Credibility ya chama itaongezeka na hivyo kujijenga kupitia ushindi wa kesi
  • Uwezekana wa kushinda uchaguzi mdogo unakuwa mkubwa
  • Kuongeza idadi ya viti bungeni
  Njia za kupta shs.80,000,000
  • Tukifungua kesi mapema wakati wananchi bado wa machungu ya kudhulumiwa tunaweza kuchangisha wanachama kwa kila jimbo lillilopoteza na kuomba msaada majimbo mengine hii itafanyika kwa kufanya harambee kwenye mikutano ya hadhara na kutangaza mapato hapo hapo kama alivyokuwa anafanya Zitto
  • Kutumia baadhi ya mapato ya chama ili kulipia kesi hizo
  Naamini tukishirikisha wanachama gharama hazitatushinda ili mradi tuwatumie wanasisa wa chadema wenye ushawishi mkubwa
   
 10. K

  Kudadadeki Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo; Kesi za Uchaguzi ni kama kesi za mauaji; zinachukua miaka mingi sana kukamilika.

  Uzoefu unaonyesha zinachukua up to 4 years....
   
 11. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kweli mkuu tuvamie mahakama kama hatuna akili nzuri, hawa watu tusiwaache hivihivi watazoea. Maana tukiwashinda mahakani hata kwa nusu ya majimbo wataogopa na kuona haina maana kutumia ubabe.
  Tiuge jirani zetu mahakama itatenda haki. Na wanasheria wetu waombe hizo kesi kama matter of urgency.
   
 12. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kilombero, data za karibuni zinaonesha Chadema wamechukua. Asante mkuu kwa upembuzi wako.
   
 13. N

  Nampula JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu mbeya vijijini wamechakachua pia.........................masikini shitambala
   
 14. j

  jensen Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S-cry:
   
 15. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  WOTE NDIVYO TULIVYO! nimetazama hilo neno kisha nikawatazama wao walichokisema, hapo ndipo unaporudi kwenye ile MWENYE MAPENZI HAONIIII..... ingawa MACHO ANAYOO!

  Inamaanisha kwamba: WAMESHAKUBALI KUSHINDWA HATA MECHI HAIJAFIKA NUSU:smile-big:
   
 16. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Hapana, hawakuchukua, Regia Mtema amepinga matokeo, anaenda mahakamani.
   
 17. senator

  senator JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kwahiyo wanakilombero wanatakiwa waanzishe harambee ya kesi hii kumsaidia mbunge wao aliyebaniwa nafasi yauteule
   
 18. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  :director: piiii piiiii, tupulize vuvuzelaa, pi piii HAMUELEWANI, ninyi si wamoja. na ilisemwa wa mbili havai moja na kinyume chake. Sishangai kabisa kwa maana hamjui kipi mnakitaka na kipi hamkitaki. Fugueni fikra zenu, amkeni toka usingizini, HAKIKA PANAHITAJIKA MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA WATANZANIA. LA SIVYO TUTANDELEA KUCHEZA NGOMA ISIYOJULIKANA:nono::sad:
   
 19. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa kwani ushahidi wanao na ruksa kikatiba.
   
 20. Profesy

  Profesy Verified User

  #20
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo ya kijani si alikua unnoposed? Au Tibaijuka alikua jimbo gani?
  Alafu umesahau kutaja ubabe wa Kigamboni aise...:nono:
   
Loading...