Kazi ya kwanza ya madiwani wa jiji la mwanza ni kumfukuza kazi mrugenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ya kwanza ya madiwani wa jiji la mwanza ni kumfukuza kazi mrugenzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ibra Mo, Nov 4, 2010.

 1. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kazi ya kwanza tunayowatuma Madiwani wa Chadema pa1 na wabunge wetu ambao kwa idadi yao watakuwa wana icontrol Halmashauri ya Jiji nikutuondolea hii Takataka(Wilson Kabwe)ni lazima aondoke,Ushenzi alioufanya kuanzia kwenye hatua za uteuzi wa wagombea,Campaign na hata kutangaza Matokeo hauvumiliki.Madiwani wetu waweke Shinikizo aondoke kama hataki waitishe maandamano wakazi wa Mwanza tupo tayari Nguvu ya Umma itamwondoa kwenye hizo ofisi zetu.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,992
  Trophy Points: 280
  pili wafatilie maswala ya ardhi kuna uhuni sana kwenye hiyo idara
   
 3. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hii mbona sio mz tuu! ni tz nzima
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  tena akafie mbali kabisa.
   
 5. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wandugu
  CHADEMA IMEPATA VITI VINGAPI KULE ? TAFADHALI NIJULISHENI
   
 6. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Huyo JKabwe atampeleka kwingine na fisadi mkuu.
   
 7. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Aende huko kwingine,lakini Mwanza hatumtaki,hatuna nafasi na mtu anayetaka kuchezea nguvu ya umma kwa manufaa ya wachache.Madiwani wetu,tutendeeni haki tafadhari,ondoa huyu mtu mapema iwezekanavyo!
   
 8. F

  Far star Senior Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Laurence mashati aliekuwa waziri wa mambo ya ndani ya chama (ccm) ameahibika sana baada ya kumzushia wenje kuwa sio raia
   
Loading...