Elections 2010 COMFIRMED: Lowassa achukua tena Monduli

Igabiro

Igabiro

JF-Expert Member
242
170
lowasa (CCM)- 39000+

Mch (CHADEMA) - 2000+
 
Kachanchabuseta

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
7,276
1,195
aaahh Use****nge fisadi huyu
 
LoyalTzCitizen

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
2,145
1,500
YAANI BINADAMU WANAMPA KURA HUYU CHIZI! ARGHHH!:A S angry::A S angry:
 
N

Nyumbu-

JF-Expert Member
980
250
But he has lost Arusha, thanks God!
 
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
2,862
0
usituletee habari za ushindi wa fisadi hapa.
 
A

admissionletter

JF-Expert Member
329
250
Huyu jamaa hata akishinda ukweli ni kwamba yuko kwenye politics za kulazimisha tu lakini at the end of the day hana legacy yoyote zaidi ya kujineemesha
 
Saharavoice

Saharavoice

JF-Expert Member
2,872
1,500
Kwa jinsi ninavyowajua Wamasai, Lowassa is everything to them
 
K

Konde

Member
10
0
Waliompa kura huyu fisadi ni wendawazimu kweli...mtu mwenye akili timamu hawezi kumpa kura mwizi huyu....
 
Wambugani

Wambugani

JF-Expert Member
1,757
1,225
Hivi ni kweli Mch. kapata 2,000 tu. Basi Monduli ni Wadanganyika wa kweli.
 
M

mmakonde

JF-Expert Member
968
0
Wamasai wa huko ni poor,uneducated ,wala hawajui kitu kinachoitwa RICHMOND.
 
N

nomita

Member
10
0
Wamasai wa huko ni poor,uneducated ,wala hawajui kitu kinachoitwa RICHMOND.
uyu jamaa anaweza kuwa fisadi ila anawajali watu wako kaleta maendeleo sana monduli ndoo maana wamasai wamamfeel....na ndo maana ya ubunge au siyo jamani...anaekujali ndo unaempa aijalishi kapata wapi hela
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom