Hongera wana Kigoma kwa Kutodanganyika


ludoking

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Messages
124
Likes
11
Points
35
ludoking

ludoking

Senior Member
Joined Oct 5, 2008
124 11 35
Kwanza naomba niwapongeze wana Kigoma kwa kuonyesha moyo wa dhati wa mageuzi ya kweli. Kigoma wamewanesha watanzania kuwa wamechoshwa na utawala dhalimu wa CCM. Sasa Kigoma imekuwa ngome ya upinzani kwani upinzani wamechukua takribani majimbo sita (6) ya ubunge kati ya nane. NCCR wamechukua 4 na CHADEMA 2. Hiki ni kiashiria cha ukombozi kwa wana Kigoma. Wamechoshwa na kudhihakiwa na CCM kwa kunyimwa maendeleo. Ilionekana Kigoma kusahauliwa katika nyanja mbalimbali. Hii inadhihirishwa na kauli ya Kikwete katika baadhi ya mikutano yake aliposema akichaguliwa "ATAIUNGANISHA KIGOMA NA TANZANIA" as if Kigoma siyo Tanzania. Nawapongeza wabunge wateule TENA WOTE VIJANA kazeni buti tuko nyuma yenu katika kuleta mageuzi ya kweli. Mungu ibariki Kigoma, Mungu ibariki Tanzania
 
WiseLady

WiseLady

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2010
Messages
3,248
Likes
20
Points
135
WiseLady

WiseLady

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2010
3,248 20 135
Kigoma imeshajikomboa bado sehemu zingine hasa lindi,ruvuma,n.k
 
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Messages
3,104
Likes
59
Points
145
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2010
3,104 59 145
Chadema kigoma wamepata majimbo mawili? Moja najua ni Zitto, Lingine?
 
The Quonquerer

The Quonquerer

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
781
Likes
2
Points
0
The Quonquerer

The Quonquerer

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
781 2 0
Kigoma mjini kura ziliibwa, yangekuwa 7.
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,841
Likes
49
Points
145
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,841 49 145
Mimi binafsi wamenifurahisha sana!hongera kigoma!!
 

Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,351