NEC mnataka Tanzania igeuke kuwa Bagdad??. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC mnataka Tanzania igeuke kuwa Bagdad??.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtoka Mbali, Nov 4, 2010.

 1. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haiwezekani hapa Arusha pamoja na CHADEMA kushinda kiti cha ubunge, madiwani nao pia ni wa kumwaga alafu eti Kikwete anaongoza kwa kura. Hivi hawa CCM na NEC watufanya sisi watanzania wapumbavu. Siongei kwa ubaya ila hata NEC Arusha ni wa kuwajibishwa maana walitaka kumuhonga Mh Lema ila washukuriwe Mh Ndesamburo na Mh Mbowe waliokataa hongo hiyo baada ya kuwasili eneo la tukio.
   
Loading...