Katika awamu hii ya uongozi ccm kupitia maamuzi mbalimbali ya vikao vyake na utendaji wa raisi Kikwete na serikali yake inaweza kujikuta inafanya "blander" nyingi katika kujaribu kukabliana na...
ALIYEKUWA Spika wa Bunge la Tanzania lililomaliza muda wake, Samuel Sitta, ana hamu ya kuliongoza Bunge lijalo hivyo anatarajia kujaza fomu kesho kukiomba Chama Cha Maja sorry Mapinduzi (CCM)...
Ivi kwa nini tunaita huu WIZI wa kura UCHAKACHUAJI? Ni kwa ajili ya kupunguza makali ya ukweli wa jambo au vipi? Kwa nini tusiuite kwa jina lake sahihi - yaani WIZI? Tunataka kugeuza huu wizi kama...
Ndugu zangu nimeambatanisha report ya waangalizi wa Ulaya kwenye uchaguzi wetu, jamaa wangu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi nao kaniambia jamaa walikuwa disappointed sana na mambo mengi kwenye...
Tanzania is still a backwater compared with its Kenyan neighbour to the north
Oct 28th 2010 | BUMBULI
Makamba (right) networks on the mount
THE parliamentary campaign in Bumbuli, a...
nimekuwa nikifuatilia hesabu za kura katika jimbo la Karatu, Kwenye website ya Tume ya Uchaguzi hakuna jimbo la Karatu lakini Kwenye Mwananchi Dr. Slaa alipata kura 147 (0.2%) Jk alipata kura...
Unapoona maraisi wa tano tu kutoka Afrika wamekuja kushiriki katika hafla ya kumpongeza JK na ushindi wa mezani basi ujue mabadiliko Afrika bado yana safari ndefu................
Maraisi hao ni...
Great Thinkers
Lets assume Katika New cabinet ya JK anakuambia chagua decision making Position utakayotaka atakupa.
Sasa tuelezane
Post au position gani ungependa kupewa na kwa nini...
Wana JF naomba mnijuze kama kuna uhusiano wa kuanza kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali madukani na matokeo ya uchaguzi. Au ndo tunaanza kurudisha gharama za t-shirts na mabango? sioni any...
Sanamu inaweza kuwa ni picha, kinyago,kikaragosi au kitu tuu kinachofurahisha, kukonga moyo na hata kujenga imani ambayo huwa ni vigumu kubadilika.
Nawaangalia Watanzania wengi waliopoteza haki...
Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri...
Ndugu wana JF kwa watu ambao tuna uchungu wa nchi hii inauma sana na tuna hamu sna ya kujua hatma ya majimbo ambayo CHADEMA walishinda na kufanyiwa uonevu na uovu wa uchakachuaji wa kura...
Katika sheria za uchaguzi ni kwamba baada ya matokeo kutoka kila mgombea anapaswa kusaini kukubali matokeo, nauliza iwapo mgombea hakukubali matokeo na kagoma kusaini nini kinafuata. Maana katika...
Inasikitisha sana kwamba kuna Waislam bendera-fuata-upepo waliopotoka, ambao walishawishiwa na ule ujumbe uliokuwa ukisambazwa kwamba Kikwete anapaswa kupigiwa kura na Waislam KWA KUWA ni Muislam...
nimeona hoja mbalimbali toka wanachama wa sisi em kuhusu kuwapa nafas wengine wajaribu nafasi ya uspika hiyo nzuri ila nguvu hizo sikuziona kwenye nafas ya urais ndani ya chama zaid ya kukusisita...
Uchaguzi umepita..! hatuna namna tena zaidi ya kukubali kubeba zigo letu tena- CCM na JK wake kwa miaka mingine 5. Niliwaza kuhama nchi nikakae huko ... mpaka miaka hiyo ipite, lakini baadae...
Katika wiki hii na hasa siku mbili zilizopita nimefuatilia mijadala kuhusu uchaguzi wa Spika wa Bunge kwenye media zetu (TV na Magazeti). Wengi wa waliochangia walikuwa wanaonyesha kwamba Samuel...
Kwa masaa machache sana ambayo nimekuwepo hapa, nimegundua ya kwamba, yule wanaesema WANAMPENDA na kumuamini HAWAMPENDI bali wanambomoa na KUMUANGAMIZA. Kwa sababu kama KWELI WANAMPENDA...
Kwanza nachukua nafasi hii kumpongeza mheshimiwa jakaya mrisho kikwete na chama chake kwa kushinda uchaguzi pamoja na kuwa na kasoro za hapa na pale ambazo ningeshangaa sana kama zingekosekana...