Nini hatma ya majimbo haya

gomezirichard

Member
Nov 2, 2010
71
1
Ndugu wana JF kwa watu ambao tuna uchungu wa nchi hii inauma sana na tuna hamu sna ya kujua hatma ya majimbo ambayo CHADEMA walishinda na kufanyiwa uonevu na uovu wa uchakachuaji wa kura.

MAJIMBO YAFUATAYO TUNAHITAJI KUJUA HATMA YAKE

SHINYANGA MJINI
KIBAHA MJINI
KIGOMA MJINI
SEGEREA
KILOMBERO
MBOZI MASHARIKI/MAGHARIBI
MEYA VIJIJINI
SONGEA MJINI

SWALA LA MAHAKAMA KUNA KUSHINDA AU KUSHINDWA UKIZINGATIA SYSTEM YA MAHAKAMA NDIO ORDER YA CHAMA TAWALA

TUNAHITAJI TAARIFA

MZEE GOMEZI
 
Aisee that will be a long journey ila CHADEMA has no other option than filing a case
 
ndugu wana jf kwa watu ambao tuna uchungu wa nchi hii inauma sana na tuna hamu sna ya kujua hatma ya majimbo ambayo chadema walishinda na kufanyiwa uonevu na uovu wa uchakachuaji wa kura.

Majimbo yafuatayo tunahitaji kujua hatma yake

shinyanga mjini
kibaha mjini
kigoma mjini
segerea
kilombero
mbozi mashariki/magharibi
meya vijijini
songea mjini

swala la mahakama kuna kushinda au kushindwa ukizingatia system ya mahakama ndio order ya chama tawala

tunahitaji taarifa

mzee gomezi
karagwe
 
Mkuu, kwa kiasi kikubwa sana hatma ya hayo majimbo yapo mikononi mwa wananchi wa majimbo hayo, hata kama kesi zikifunguliwa, kuna haja ya watu kuaidia yatetewe upya

la sivyo itakua haina maana

inatia huzuni sana kuona kibaha ilivyovhakachuliwa
 
Back
Top Bottom