Elections 2010 kwenye uspika ndio tuhitaji sura mpya?

emmathy

Senior Member
Sep 22, 2010
147
225
nimeona hoja mbalimbali toka wanachama wa sisi em kuhusu kuwapa nafas wengine wajaribu nafasi ya uspika hiyo nzuri ila nguvu hizo sikuziona kwenye nafas ya urais ndani ya chama zaid ya kukusisita nafas hiyo aliyonayo amalizie, nazani wengi mnakumbuka hivyo nilizani hata kwenye uspika ndani ya chama wangesisita na kupiga kampeni agombee sita(tutafakari)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom