Ndugu zangu nimeambatanisha report ya waangalizi wa Ulaya kwenye uchaguzi wetu, jamaa wangu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi nao kaniambia jamaa walikuwa disappointed sana na mambo mengi kwenye uchaguzi wetu.