Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana jamii kuna jambo limenishtua kdogo ktk sherehe ya kuapishwa rais mteule wa NEC, mh jakaya kikwete, had najiuliza hiv ndege za kivita ni za nini ktk sherehe kama ile?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
bado tunataka kipi zaidi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi wa Rais,Wabunge na madiwani 2010 uliotawaliwa na kila aina ya mizengwe toka chama tawala CCM.Sasa zimezuka kauli za kulinda amani na usalama wa nchi yetu,chama tawala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na kauli ya Mzee Mwanakijiji ya tarehe 5 November, 2010 saa 3:05 asubuhi: "Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi" ambayo katumia muda mwingi kujaribu...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
wanasema ukila na kipofu usimshike mkono...hii sisiem wamewashika mkono watanzania wengi mno na hakika dhambi hii haitawaacha milele.. iko humu humu Jf ni kuhusu mkutano wa la cairo. hutaamini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kitendo cha "mzee wa vijisent"kuchukua fomu ya uspika ili kulinda maslahi ya mafisadi bungeni,ni mtego mwingine kwa serkali ya kikwete na wabunge wake baada ya ule wa kikwete kupita majimbon...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mafanikio ya chadema katika uchaguzi huu makubwa na yanastahili kupongezwa na kila mtanzania anayeitakia mema nchi hii. Hakuna kificho kuwa Chadema wamedhulumiwa ushindi; hata sisi wanaccm...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imenishangaza rais mteule wa nec katinga tai nyekundu na akitembea kwenye zulia lekundu wakati wa sherehe za kuapishwa.........
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hali ilivyo sasa nchini Tz, Inaonekana kwamba adui mkubwa wa mabadiliko tunayoyahitaji ni ujinga wa watz walio wengi. Mfumo wa chama kimoja bado ungalipo vichwani mwa watanzania. Hawajafahamu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wadau, kama mnafuatilia vizuri, hawa jamaa, leo wana apa kutumia katiba, siyo vitabu vya dini. Je, hii ina maana gani?
0 Reactions
43 Replies
6K Views
mimi nimekaa najiuliza: hivi kwa nini tume ya uchaguzi - NEC isiwe na database (benki ya taarifa) ya uchaguzi kwa vituo vyote kwa ajili ya transparency na future reference. Mimi siyo mtaalamu wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waslaaam wananchi wote JF, - Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo: - Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Again, Jamiiforums owner / moderators, if you want my post to change, tell me to change it, or if you disagree with what I have posted, delete it. For you to post things and attribute to my name...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeshtuka kidogo, baada ya kuona kwenye TV Rostam akijitetea kuwa siku anayodaiwa kufanya kikao Mwanza tarehe 19 alikua Afrika Kusini toka tarehe 16 October. Kilichonishtua ni kwamba tarehe 17...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nchi gani ambazo zimeshamtumia Rais Kikwete salamu za kuchaguliwa kuwa rais?? Zimbabwe(Komredi Mugabe) Kenya (Kibaki) Botswana SA(Zuma) DRC congo(Kabila) ........ ........
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DR SLAA.:A S cry: Naomba usiwaendekeze sana hao waliotuibia kura zetu halali na kujipachika ushindi kimabavu. Zungumza nao na uwasome machoni kama wana la maana la kukueleza ili kulisaidia taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunajua Tanzania mahakama ziko influenced na Wanasiasa. Owongo kwamba mahakama ziko huru. Hata hivyo, namshaurui Dr Slaa afungue kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi-au haiwezekani kikatiba? Kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kaka kitila mkumbo nakuheshimu sana na hasa kipindi ulipokuwa pale chuoni uliyafanya kazi nzuri sana kama rais wa Daruso. nakuomba unipitishie maoni yangu haya kwa wateule wetu wa chadema. hatari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Election won by Mandela 'rigged by opposition' The South Africa election which spelt the end of apartheid and brought Nelson Mandela to power was marred by vote tampering in favour of the white...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona kuna haja ya kulijadili ili jamani bse ni aibu. Kwa kuanzi point zangu I. NEC haikujipanga vilivyo kutoa elimu ya uraia the next question comes are they unfit for the job...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom