Mwana jf umeteuliwa na jk kuwa " xyz" utafanya nini??

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Great Thinkers
Lets assume Katika New cabinet ya JK anakuambia chagua decision making Position utakayotaka atakupa.

Sasa tuelezane

  • Post au position gani ungependa kupewa na kwa nini?
  • Ungefanya nini na ungekuwa na vision gani? Challenge kubwa kwenye position hiyo ni nini
  • ungewaambia wananchi watathimi utendaji wako kwa vitu gani baada ya miaka mitatu?
  • Kitu gani kiongozi wa position uliyochagua aliyepita alifanya sahihi na kitu gani hukubaliani na alicofanya?
Kama great thinkers tunaweza kuwapa mawazo chanya waheshimiwa watarajiwa

Nawasilisha.
 
kura zihesabiwe upya
 
Ningependa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

Kazi ya kwaanza ni kurudia uhakiki wa kura zote za urais, madiwani na wabunge.

Ningetoa haki kwa wote bila kujazi jimbo, chama, kabila ama dini

Ila HAYA YOTE NI ALINACHA TUSIJADILI IMPOSIBOS

tuwe na mada zenye tija na sio hizi hadith za kufikirika
 
nikulia na katiba mpya ambayo itahusisha maamuzi ya wanainchi katika kuamua muundo wa serikali wayotaka iwatumikie
 
Ningependa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

Kazi ya kwaanza ni kurudia uhakiki wa kura zote za urais, madiwani na wabunge.

Ningetoa haki kwa wote bila kujazi jimbo, chama, kabila ama dini

Ila HAYA YOTE NI ALINACHA TUSIJADILI IMPOSIBOS

tuwe na mada zenye tija na sio hizi hadith za kufikirika

Uko sahihi ni ndoto za alinanacha but i see it can be a good way we great thinkers can put ouselves ve in any decicion making position and advice contsructive ideas.
U never know those who will wear those shoes might get some good ideas here.
 
sitaki post yeyote ktk serikali ya kifisadi. Kura zihesabiwe upyaa! chadema ipewe ushindi kwenye majimbo iliyoshinda na kura halali za urais zitangazwe na siohizi za wizi alizopewa jk
 
Great Thinkers
Lets assume Katika New cabinet ya JK anakuambia chagua decision making Position utakayotaka atakupa.

Sasa tuelezane

  • Post au position gani ungependa kupewa na kwa nini?
  • Ungefanya nini na ungekuwa na vision gani? Challenge kubwa kwenye position hiyo ni nini
  • ungewaambia wananchi watathimi utendaji wako kwa vitu gani baada ya miaka mitatu?
  • Kitu gani kiongozi wa position uliyochagua aliyepita alifanya sahihi na kitu gani hukubaliani na alicofanya?
Kama great thinkers tunaweza kuwapa mawazo chanya waheshimiwa watarajiwa

Nawasilisha.

Nitachagua kuwa nafasi ya Umwenyekiti wa tume ya uchaguzi.

Maamuzi, ni kufuta uchaguzi wote wa mwaka huu na kuuahirisha kwa miaka miwili wakati tukirekebisha katiba. Kulifanyia marekebisho daftari la wapiga kura na kuondoa majina hewa kama 8,000,000 yaliyopo kwa sasa na kuacha wapiga kura halali 12,000,000 tu. kuhakikisha kuwa wakuu wa mikoa/wilaya na wakurugenzi hawahusiki kwa aina yoyote ile katika uchaguzi. Mtu yeyote ambaye ni president appointee ni marufuku kuwa na uhusiano na NEC.

Kuhakikisha kuwa kura zote zinabandikwa vituoni na kutangazwa kwenye vyombo vya habari as they come. Na NEC inakuwa na database ya majina na vituo online. Kuhakikisha kuwa majina ya wapiga kura yanabandikwa mara tu uandikishaji unapoisha na kuwapa wananchi muda wa kuyahakiki na kujua ni wapi watapigia kura badala ya kusubiri siku tatu kabla ya kupiga kura.

Kuhakikisha kuwa matokeo ya vituoni ni ya mwisho kama wakala akitia saini kituoni na kubandikwa basi hakuna wa kuyabadili isipokuwa amri ya mahakama tu katika kesi.

Kuhakikisha kuwa kura zinatangazwa ndani ya masaa sita tangu kufungwa vituo vya kupigia kura na majimbo yanafanya hivyo ndani ya masaa 8 tangu kufungwa vituo vya kupigia kura.

Tume ikimtangaza mshindi awe wa rais ama ubunge na ikatokea kesi ikafunguliwa basi mtu huyo atakuwa amepotezasifa za kuapishwa mpaka shauri lake liamuliwe na mahakama ya rufaa kama litafika huko.

.............................................
 
Kitu muhimu ni kubadilisha katiba iliyopitwa na wakati na kuunda tume huru ya uchaguzi siyo wakurugenzi ambao wanalazimishwa kufuata maelekezo yaMIZENGO PINDA kuzengua na kupinda sheria
 
Great Thinkers
Lets assume Katika New cabinet ya JK anakuambia chagua decision making Position utakayotaka atakupa.

Sasa tuelezane

  • Post au position gani ungependa kupewa na kwa nini?
  • Ungefanya nini na ungekuwa na vision gani? Challenge kubwa kwenye position hiyo ni nini
  • ungewaambia wananchi watathimi utendaji wako kwa vitu gani baada ya miaka mitatu?
  • Kitu gani kiongozi wa position uliyochagua aliyepita alifanya sahihi na kitu gani hukubaliani na alicofanya?
Kama great thinkers tunaweza kuwapa mawazo chanya waheshimiwa watarajiwa

Nawasilisha.

Day-dreaming eeh?

Nahisi ningekataa kuwa kwenye serikali ya JK maana wanavyojua kubana wangenigeuza rubber stamp au wangeniengua kama walivyoenguliwa wale wote waliojifanya kuwa tofauti na itikadi
 
Let me go on day dreaming . Hoja yangu si chama gani kiko madarakni hoja yangu ni sisi wana jf tujiweke kwenye posiion tunayotaka Itueleze idea zetu.
Now lets day dream CHADEMA /CUF won the election and Dr slaa au Lipumba anakuuliza akupe position gani? what new ideas will u suggest in your area of authority
 
Mtazamaji;

Very simple and objective way... ya kufanya tathmini ya Uchaguzi na Serakali mpya...

alafau;

Findings za awali ...karibi wote waliojibu ...wamebakia kwenye hoja ya NEC!

Inaonyesha ambavyo watu wengi hawajaridhika kabisa na hiyo NEC ...

Hasa Kura zilivyohesabiwa na Muda wa kuzitangaza..!
 
sitaki post yeyote ktk serikali ya kifisadi. Kura zihesabiwe upyaa! chadema ipewe ushindi kwenye majimbo iliyoshinda na kura halali za urais zitangazwe na siohizi za wizi alizopewa jk

acheni hizo chadema watanzania tuliopiga kura ndio sisi na tumempa jk kwa wingi kuliko silaa mbona mnajitoa akili jamani!
mmeibiwa wapi pelekeni vithibitisho vya mlipoibiwa mahakamani plz!
 
Ningeliomba nipewe Viwanda na Biashara, najua wataalamu watanzania walioko nje ya nji hii na uwezo wao. ningeliwaomba hao warejee nyumbani sambamba na mitaji kutoka kwenye makampuni ambayo hayafanyi vizuri kwenye soko la ulaya kwa sasa. Kutokana na gharama ndogo za uendeshaji hapa nchini, ndani ya miaka mitatu twaweza kuwa tumeanza -kurejeza na kuunda bidhaa mbalimbali ili kufikia miaka minne tuwe tumetengeneza mtaji wa kutosha na hivyo basi kuanza uzalishaji wa mali mpya. :smile-big:
 
Big up sana sijui usahihi wa maono yako lakini nilitegemea wanajamvi waje na ideas kama hizi. Lakini mhhh. Nimegundua most of us here reactive and not proactive.
 
Back
Top Bottom