Wana JF naomba mnijuze kama kuna uhusiano wa kuanza kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali madukani na matokeo ya uchaguzi. Au ndo tunaanza kurudisha gharama za t-shirts na mabango? sioni any economic justification kwa hizi bei mpya! Naomba kuwasilisha.
Mlishaambiwa kuchagua CCM ni maafa. Sasa hizi zinaitwa rasha rasha! Watanzania lazima washike adabu this time!
Tupe mfano mkuu, nini kimepanda bei na kwa kiasi gani?
Nilishawai andika kuwa watz tujiandae kufunga mikanda hamkunielwa
bei ya cement imefika elfu 20 katika mkoa Mbeya
i am very very very disappointed na watanzania! full stop!