Elections 2010 Mbunge wa kilombero

mpenda

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
250
22
Jamani wana jf naomba mnijuze; kule kilombero alishinda nani? Ccm au chadema?
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,370
58,113
Jamani wana jf naomba mnijuze; kule kilombero alishinda nani? Ccm au chadema?

unataka kujua nani alishinda au nani alitangazwa kuwa mbunge? si unajua kuna baadhi ya wabunge hawakushinda ila wakatangazwa kuwa wabunge?
 

Fabolous

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
2,126
1,890
Imeshinda Chadema ila aliokabidhiwa hati ya ubunge na msimamizi wa uchaguzi ni mgombea wa ccm!
 

Amigo

Senior Member
Mar 7, 2009
150
2
Na hii nasikia imefanywa hivyo kwa ajili kulinda msilahi ya wakubwa katika kiwanda cha Sukari hamna kitu kingine.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom