Maandamano kupinga ushindi wa mkwere rock city! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano kupinga ushindi wa mkwere rock city!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mumbo, Nov 7, 2010.

 1. M

  Mumbo Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri 2015.Habari zaidi,bofya Ghasia Mwanza zapatiwa dawa
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwa Mza, thithiemu watafanya kazi ya ziada sana. Hatutaki utani wa kijinga na kudanganywa na mafisadi!
   
 3. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Hayo matokea watayakubali wao na wake zao mimi wala!
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  wasifanye maandamano? Yatafanyika hata ndani ya mioyo yetu . Maandamano is just gesture . Actiom bado mazee
   
Loading...