Kuna watu hapa jamvini wanadhani baadhi ya nchi za magharibi hazijafurahishwa na uchakachuaji wa kura. Naomba tufunguke macho,
Nchi za magharibi hazinufaiki chochote na uamuzi wa wananchi wa...
Chenge yupo sahihi katika tuhuma zake dhidi ya Sitta?Kama wagombea nafasi ya spika ni hao wawili,kura yako ungempa nani?mie ntakuwa msimamizi wa uchaguzi huo!
Hongera baba kwa kuchaguliwa, kuteuliwa kisha kuapishwa kwako kuwa rais wa hii Jamhuri yetu ya Tanzania,
Hatuna Rais mwingine badala yako, kwenye ile hotuba fupi uliwaasa WAANDISHI na wale...
Inawezekana wengine hatukumbuki na msinicheke.
Najua hoja ya ufisadi wa EPA ililetwa bungeni na Dr. Slaa lakini Samwel Sitta akaikemea kwamba bunge haliwezi kujadili hoja zenye ushahidi wa...
Ndugu wana jf tumepata jembe tena jembe litakalo lima hata kiangazi,ukitaka kumjuwa sugu ni nani sikiliza ile nyimbo yake ya antivirus,sugu anakuambia moto ni uleule yeye anauhuru wa kusema na...
Combating major fraud and corruption
Our aim is to protect society from extensive, deliberate criminal deception which could threaten public confidence in the financial system. We investigate...
KUFUATANA NA KILE ALICHOKISEMA MZEE WA VIJISENTI KUWA AMESHASAFISHWA NA SFO KUWA HAKUHUSIKA KATIKA SAKATA LA RADA KAMA MMOJA WA WAPOKEA RUSHWA,UBALOZI WA UINGEREZA UMEAMUA KUTOA TAARIFA KWA VYOMBO...
na Andrew Chale
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ameponda hatua ya ujumbe wa viongozi wa dini nchini kumtaka Dk. Willibrod Slaa, kukubali matokeo ya...
ndugu si vibaya nikiwadokeza namna nilivyofanikiwa katika uchaguzi huu na nilivyopangua hoja za wapinzani wa CCM jimboni. leo nitaanza na sera ya elimu bure kama ilivyonadia na chadema.
mimi...
Hebu angalieni hii Press release ya Ubaloni wa Uingereza!
PRESS RELEASE
10 November 2010
PCCBS STATEMENT OF 8 NOVEMBER RELATING TO THE BAE/RADAR CASE
The British Government is aware...
Ndugu Wana JF,
Napenda kutoa pendekezo kwa uongozi wa Chadema kuanzisha Database ya computer itayotunza kumbukumbu muhimu za wanachama wake kama vile Majina kamili, Anwani za mwanachama, Number...
wana JF,
nimejiuliza hili swali nimekosa jibu, nikaona si mbaya wacha nilisogeze sebuleni, kama inatokea mmoja kati ya watu waliothibitika kwa ufisadi akaomba uanachama wa chama chetu (CHADEMA)...
Nimependa sana mijdala inayohusu vyama vilivyogombea upinzani uliojitokeza ni wa juu sana unaoimarisha demokrasia ya nchi yetu, sikufurahia kebehi na matusi ambavyo vlinionyesha udhaifu binafsi wa...
Kuna njia nyingi za kuingia mjengoni na siyo lazima uwe na kundi maalum la uwakilishi. Hatimaye yule dada afisa wa benki kuu na mburudishaji wa wakuu, asiyeogopa hadhira katika mavazi yake kaingia...
NAJITOKEZA KUIPONGEZA CCM SIKU CHACHE BAADA YA KUCHAKACHUA KURA NA KUPATA KUSHINDA UBUNGE NA URAISI KILOMBERO,BEI YA CEMENTI YAPANDA KUTOKA 12,500-14,000 KWA MFUKO,NA HIYO NDIYO MAANA HALISI YA...
Nimekuwa nikitafakari kwa muda juu ya mfumo wa elimu ya juu kwa nchi yetu na mchango wake katika kuleta maendeleo ya Mtanzania wa sasa.Ni dhahiri katika elimu ya juu ndipo ambapo taifa hili...