Tunataka chombo chetu cha kuzibiti na kupambana na Rushwa kiwe hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka chombo chetu cha kuzibiti na kupambana na Rushwa kiwe hivi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Nov 10, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Combating major fraud and corruption

  Our aim is to protect society from extensive, deliberate criminal deception which could threaten public confidence in the financial system. We investigate fraud and corruption that requires our investigative expertise and special powers to obtain and assess evidence to successfully prosecute fraudsters, freeze assets and compensate victims.

  -------------------------------------------------------------------------------
  Hiyo hapo ni front page ya SFO Home | SFO - Serious Fraud Office

  Hata kabla hujajua wanafanya nini unapata confidence kuwa wataweza na wana nia hiyo.

  MANENO HUJENGA BWANA!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Bongo hata wakiandika hivyo tegemea maumivu ndani!
  Hujaisoma sheria ya gharama za uchaguzi ilivyo kali, lakini ni kwa kuivunjavunja sheria hiyohiyo leo wabunge wa ccm wapo mjengoni!
   
Loading...