Kuna njia nyingi za kuingia mjengoni na siyo lazima uwe na kundi maalum la uwakilishi. Hatimaye yule dada afisa wa benki kuu na mburudishaji wa wakuu, asiyeogopa hadhira katika mavazi yake kaingia mjengoni. Sina uhakika kama ni mwakilishi wa kundi la wasanii, kinamama au ndo yaleyale....
Hongera Vicky, tunakusubiria bungeni.
Hongera Vicky, tunakusubiria bungeni.