Wadau naomba mnihabarishe. Hivi kugombea uspiks lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa au unaweza kuingia kama independent candidate? Au lazima iwe kama ubunge na urais yaani lazima uwe kwenye chama fulani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.