KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,678 8,864 Nov 10, 2010 #1 Hivi niwabunge wapi wenye elimu hafifu??(Faint education)??
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,120 66,036 Nov 10, 2010 #3 Profesa Maji Marefu, darasa la 4
chokambayaa JF-Expert Member Nov 1, 2010 543 69 Nov 10, 2010 #5 Tatizo katiba yetu ilimradi ujue kusoma na kuandika Soma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 67 (1) (a)
Tatizo katiba yetu ilimradi ujue kusoma na kuandika Soma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 67 (1) (a)
Kishongo JF-Expert Member May 4, 2010 932 64 Nov 10, 2010 #6 FREDOMFIGHTER said: Profesa Maji Marefu, darasa la 4 Click to expand... Na vipi elimu ya Mbunge wetu mteule wa Arusha Mjini?
FREDOMFIGHTER said: Profesa Maji Marefu, darasa la 4 Click to expand... Na vipi elimu ya Mbunge wetu mteule wa Arusha Mjini?
W werema01 Member Feb 10, 2010 47 0 Nov 10, 2010 #7 Ni vigumu kufahamu, kuna KUELIMIKA NA KUTAALUMIKA. ELIMU YA MTAANI NA ELIMU YA DARASANI(KUKREMU)... TAFUTA BENCHMARK
Ni vigumu kufahamu, kuna KUELIMIKA NA KUTAALUMIKA. ELIMU YA MTAANI NA ELIMU YA DARASANI(KUKREMU)... TAFUTA BENCHMARK