Je ni kweli suala la Chenge na SFO limekwesha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli suala la Chenge na SFO limekwesha!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgoyangi, Nov 10, 2010.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hebu angalieni hii Press release ya Ubaloni wa Uingereza!  PRESS RELEASE


  10 November 2010
  PCCB’S STATEMENT OF 8 NOVEMBER RELATING TO THE BAE/RADAR CASE

  The British Government is aware of a statement made by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) on 8 November 2010. At this stage the case relating to BAe and its dealings in Tanzania is yet to go to court in the UK. It is therefore not possible to draw conclusions either way relating to those who were interviewed in connection with the case.


  NOTES FOR EDITORS:

  On 5 February 2010, the Serious Fraud Office (SFO) announced that it had reached a settlement with BAe following an investigation into a defence contract with the Government of Tanzania.

  Regarding Tanzania, BAe has admitted that it failed to keep reasonably accurate accounting records in relation to its activities here. BAe has said it will plead guilty to the aforementioned offence, and that it will pay a sum of £30 million by way of a penalty and also for reparation to Tanzania. A hearing in the crown court will determine the amount of the financial order (fine) with the balance to be made available as an ex-gratia payment to the people of Tanzania.

  The plea agreement between BAE and the SFO brought to an end all outstanding investigations by the SFO. However, because the plea agreement has not yet been before the crown court in the UK, it is not possible to say at this stage whether the agreement will stand.

  A crown court judge will determine whether the plea agreement between the SFO and BAE can be accepted. The hearing will start on 23 November.

  _________________________________________________________________________________
  FOR MORE INFORMATION:

  Mark Polatajko | Head of Political, Press & Projects Section | Email: Mark.Polatajko@fco.gov.uk | Tel: +255 (0) 22 2290000 | Mob: 0754 764276
   
 2. R

  Rayase Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapo sasa! Yangu macho! Namshauri chenge na ajitoe usipika na PCCB wawajibishwe, kama kuna ukweli!
   
 3. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ni kali ya mwaka huwezi amini wenzetu wanatuchukuliaje kama chombo cha sheria PCCB inamsafisha mtu kama chenge bila kuangalia ukweli wa jambo.

  Lakini sishangai kama walivyofanya kwa Richmind kipindi kile.

  Kiboko ya matatizo yote ni Dr.WP Slaa kuwa rais hata kama ni lini.

  Hivi hata hawa wanachama wa CCM hawalioni hilo na watuunga mkono kwenye mabadiliko.

  Nawashukuru kwa mwaka huu maana wengi tutapigika nao.
   
 4. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Ngoja Niisome tena! Mhhhhh Ubalozi umeshtuka na umebidi utoe Press Release, very unusual!!!! Yes, but unusual+unusual= NORMAL! PCCB in extremely unusual fashion published a Press Release exonorating Hon Chenje from wrongdoing in the RADAR SAGA, and the British High Commission had to counter this bu an unusual Press Release which now normalizes everything.

  Two daunting issues now:

  1) Was Hosea trying to lie to the people of Tanznia so that his home-handsome boy gets the Speaker position? If so for what gains? Is PCCB seeking favour from whoever will be the next Speaker of the House? Sounds like it!
  2) Is the Govt of Tanzania aware of what is going on at SFO and what it should expect from the BAE/SFO Agreement (ex-gratia payment), if not, who is supposed to know this? If yes, why keep mum to the extent of allowing politicisedPCCB use it to clear Hon Chenge from the scandal?
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu naomba mtume ujumbe kwa sms , kwa email, kwa kila kitu....................chenge na anna makinda hawafai kabisa. Wataua demokrasia
   
 6. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona PCCB wamesema Chenge hana hatia kabisa, ni msafi kama theluji ya pembe ya kaskazini!!!
   
 7. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  PCCB=POWER CONTROLED by CCM is BEST
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ah kwa kweli tunaushangaza sana ulimwengu mpaka wenyewe unashindwa kushangaa....Yaani wakati wenzetu wanawawajibisha viongozi wale wanaotuhumiwa/shutumiwa kuwa na makosa, sisi ndio kwanza tunawasafisha. Hivi kwa nini hatuko kama wenzetu?............ una tuhuma toka, achia ngazi mpaka usafishwe na kama utasafika baada ya wenzako kuchukua nafasi yako basi kaa benchi mpaka kipindi kijacho!! (Hivi hatuweziibadili katiba/sheria n.k)

  Ama kweli aliyesema jela ni za walala hoi hakukosea!!
  Shame on Us...............
   
 9. L

  Lorah JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii WAMEANZA TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 10. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Kama suaa hilo ni kweli sasa naona nchi hii tunaelekea kubaya. Watu waliopewa dhamana ya kuongoza mambo wamekuwa vichwa maji na wakaidi na waliokosa uadilifu kiasi kwamba sisi wote tunaonekana wajinga kupita kiasi. Inatia hasira sana kuona watu wanatumia mali zetu kipumbavu kama wanavyotaka. Nitapenda sana kusikia Hosea anajibu nini kuhusu press release hii.
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani hii PCCB haifai bora ingetenguliwa kabisa na wawekwe watu wengine ambao hawana mazoea na wakuu(Mh sijui kama inawezekana!!)............. Labda tungeweka utaratibu wa kuwa na PCCB iliyoundwa na chama pinzani yaani kama CCM ndo iko madarakani basi CHADEMA ndo iwe PCCB yao lol hahahahaha ngoja ncheke kwa uchungu mie
   
 12. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  WENZETU NJE WANACHOFANYA IN SUCH A SITUATION NI KUSAINI PETITION OF SAY 10,000 SIGNATURES NA KUIFIKISHA KWA JAJI HUSIKA KAMA PRESSURE GROUP, CAN'T ANYBODY ORGANISE THAT READY FOR DELIVERY TO THE COURT? BADALA YA KUSHUGHULIKA NA UMBEA WA ZITTO vs MBOWE WAKATI KUNA MABILIONI YA TAIFA AT STAKE
   
 13. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi Jatropha. Nakuunga Mkono. jana katika thread ya mada ya Chenge nilitoa wazo kama hili la kuwataka wanasheria watusaidie. TAKUKURU hawako kwa maslahi ya taifa. Wao ndio wala rushwa namba wahedi. Wanahitaji waambiwe ukweli na pia perception ya watanzania kwa chombo hicho. Email: dgeneral@pccb.go.tz Nukushi (FAX)[FONT=Arial][B][COLOR=black][FONT=Arial][B][COLOR=black][FONT=Arial][B][COLOR=black][FONT=Arial][FONT=Arial]: 255 22 21 50047 [/FONT][/FONT][/COLOR][/B][/FONT][/COLOR][/B][/FONT][/COLOR][/B][/FONT] :bowl:
   
 14. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Pccb hawajamtia hatiani chenge lakini hata dhamira yake mwenyewe haimuonyeshi kama ameshinda. Haina tofauti na kuiba ushindi
   
 15. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Ujue kinachowatesa ni matayarisho ya 2015, muhimili wa Mahakama tayari ulishamezwa na mafisadi wee angalia maamuzi ya kuvunja demokrasia ya mgombea huru/ binafsi, Serikalini wameshika mpini kwa kumrudisha JK kwa nguvu ya kuiba kura BILA AIBU, Ssasa kinachowasumbua ni jinsi gani watampenyesha EL kwa kumsafisha kupitia bunge lile lile na mahala palepale alipochafukia ili 2015 aweze kugombea Urais na aweze kuwalinda mafisadi wenzie, kuhusu kura za ushindi hilo wanajua hawana ubavu wa kushinda ila kitakachofanyika ni ubabe wa mchana kweupe wakisaidiwa na akina Shimbo style
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hili la SFO kutoa hiyo press release na kupuuziwa na Both Serikali yetu na PCCB yenyewe sio jambo geni kabisa.
  Hiyo taarifa ya SFO itapuuziwa na Chenge atakuiwa spika kama waliovyopanga.
  hii ndio Tanzania.
  Mnakumbuka ya RICHMOND?
  Kwa nchi makini huyo boss wa PCCB hakustahili kuwepo kwenye kiti chake hadi leo lakini mpaka sasa anadunda tu na zikiundwa tume za uchunguzi na yeye anakuwemo.
  Hii nchi bado sana.
   
 17. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  BADO HALIJAISHA KABISA HATA KIDOGO,walichofanya ni kumsafisha tu Chenge ili wampitishe uspika...hii nchi imeshaoza :caked:
   
 18. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Very intresting . Good preparation for us Chadema . The more they **** up the more we gain more members and supporters to stenghten. Dr is coming up with some full information plus this one of Chenge Kiwete will be seeking to resign. Next president before 5 years is coming soon . All JF guys say goodbye to Kikwete.

  BIG UP SFO IN UK.: A S angry:
   
 19. j

  j4marunda Member

  #19
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ama kweli! hawa waheshimiwa hawchoki kuwatania watanzania na kuwadharau kwamba hawawezi kupata habari! Tuwe macho na PCCB! hatujui ni maajenti wa nani!
   
Loading...