Edmund akihojiwa na Metty Nyang'oro katika kipindi cha Kombolela Show kinachorushwa na Radio Mbao anatoa tathmini ya matukio ya kampeni za kisiasa na uchaguzi wa Oktoba 31.
Amegusia "strengths"...
Salaam Jenerali,
Kabla sijasema neno kuhusu mada nina angalizo kwenye kichwa cha habari cha mada iliyozaa mjadala ninaoanzisha, "Jenerali...umewaacha mashabiki wako njia panda. Kwa mtazamo wangu...
Ninakiu ya ukwel naukwel huo nikusikia Sita anakuwa spika wa bunge lijalo. Huyu nikiongoz wa kwel alie leta maana ya Bunge. Uzalendo wake,umahiri wake wakufanya mambo huku akiamini kuwa kiongoz...
Inasemekana kupungua kwa thamani ya Tsh, kunakoakisiwa na kupanda kwa bei ya bidhaa siku za karibuni kumetokana na serikali kuchapisha fedha nyingi bila kujali tija ya taifa katika kipindi hiki...
Hehehe hapa kwa kweli Dr. Slaa umetusaliti Watanzania mbona kimya na kwa gonga hii na Mh. Pinda ina maana serikali ya JK so far umeikubali yetu macho...
Katika hili nimeamua kumfunga paka kengere,liwalo na liwe hata kama namgusa mtoto wa mpendwa Rais Jakaya Kikwete,Ridhiwan Kikwete
Niseme Wazi kiwa mimi kuwa mimi ni shabiki wake damudamu...
Salma Said, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein ameteua Baraza la Mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa lenye mawaziri 25 kutoka vyama viwili...
Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,
Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe hawezi kutenda haki na...
maendeleo ya nchi huletwa kwa kuwa na mipango inayoeweka vema kwa wananchi, zaman enzi za mwalimu kulikuawa na mipango ya maendeleo ya muda mfupi na mrefu kulikuwa na dira ya elimu kwa taifa...
:thinking::sad:
Nimemsikia bwana mmoja wa CUF (Khalifa Suleiman Khalifa) akihojiwa na Mhelela wa BBC leo saa tatu kasorobo usiku huu. Anasema hawawezi kuungana na CHADEMA kwa sababu hawataki...
Jana nilipokuwa nikiangalia taarifa ya habari Startv, viongozi wa Chadema Mwenyekiti Freeman Mbowe na katibu wake Dr. Slaa walidai kutoyatambua matokeo ya uraisi yaliyotangazwa na tume ya taifa...
wana jF, leo nakuja na maoni mazito.
ni wazi kila mtu anatambua na kuthamini mchango aliotoa DR.SLAA katika kuibua na kupambana na maovu mazito, ya ufisadi. ingawaji kuna baadhi ya watu mpka...
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri...
After Mhe Sitta was given 60 seconds to leave JK-BigBrother House
Up for nomination is Mhe Pinda.
Voting is now open to save Mhe Pinda from leaving the JK-BigBrother House
Utafiti binafsi: 98% ya watu ninaokutana nao na kuzungumza nao habari za siasa au wakiwa wanazungumza habari za siasa hueleza kutoitaka CCM na JK. hii ni pamoja na nyumbani, chuoni, hospitalini...
Wana JF,
Nakumbuka miaka ya nyuma i mean mwaka jana kipindi fulani huko bungeni Spika S.SITTA aliomba aongezewe ulizi kwa ajili ya usalama wake sasa kwa kamati ta CC kutompitisha kuwa spika na...
Tutumie Bunge na Sheria Zake Kuijenga Inchi Yetu. Tunajua CCM Watafanya Kila Njia Kuzuia Hoja kwa Kumtumia Spika Makinda Lakini Kunanjia za Kuwakamata CCM. Tutaona Sheria Walizozitunga Kama...