Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Wana JF,
Nakumbuka miaka ya nyuma i mean mwaka jana kipindi fulani huko bungeni Spika S.SITTA aliomba aongezewe ulizi kwa ajili ya usalama wake sasa kwa kamati ta CC kutompitisha kuwa spika na hii yote inamwondolea ule Ulinzi wake alio uomba na hali ile ya kutilia shaka maisha yake na mpaka kuomba ulizi uongezwe ndio sasa inakuwa njia nyepesi ya kumpoteza Sitta any time kwani walisha mtoa madaraka yake makubwa nae ni mbunge wa kawaida sasa. Wale maadui alio wahisi sasa ndio wananafasi hiyo.
Na la pili natilia shaka ni pale Sitta atakapo pewa cheo na kukikataa ndipo hapo itakuwa mbaya zaidi kwani kipindi cha Uspika wake aliyajua mambo mengi sana ya serikali ambayo ni mazito sana, na CCM ilivyo na viongozi wa ajabu yana weza tokea mengi ya ajabu sana sana sana usalama wa maisha ya Samweli Sitta.