After Sitta who is next to leave JK's BigBrother house? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

After Sitta who is next to leave JK's BigBrother house?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watu, Nov 15, 2010.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  After Mhe Sitta was given 60 seconds to leave JK-BigBrother House

  Up for nomination is Mhe Pinda.

  Voting is now open to save Mhe Pinda from leaving the JK-BigBrother House
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  I think wizi-one will be next
   
 3. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  You make me happy. Vote for Mtoto ya Mukulima pls
   
 4. s

  sss Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Who is Wizi-one?????
   
 5. m

  matawi JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wizi one=RIZ-1
   
 6. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Yaelekea mwisho wa sitta ulishafika zamani sema kuna watu wachache au mtu mmoja alimkingia kifua amalizie term yake,otherwise huenda plan ilikuwa afukuzwe uanachama kabisaaa
   
 7. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,557
  Likes Received: 1,318
  Trophy Points: 280
  The MOPAO, PINDA
   
 8. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nafikiri atafuata Babuuuu, Mkongwe, ambaye mie tangu sijazaliwa yuko mjengoni hadi sasa hawezi kaa tena zaidi ya kusinzia tuu:hippie:
   
 9. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />

  I think its high time Tanzania tuwe na house of lords sort of like baraza la wakongwe? Wazee wameshakuwa wakutosha hi shida yote inaletwa na wakongwe wasiotaka kuachia madaraka kwani hata wakiachi madaraka wanyoshikilia watafanya ni au kushika wapi?
   
 10. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ewe mola mnusuru mtoto wa mkulima jina lake lichomoze! Wasindwe na walege mafisadi wasije penyeza mtu wao!

  Ewe mtoto wa mkulima nyota yako inagara tuombe mkwere asije badili mawazo.
   
 11. K

  Kaisikii Member

  #11
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda kama kawa jaman atawakilisha vyema mtoto wa mkulima mwenzetu
   
 12. k

  kambipopote Senior Member

  #12
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35  sawa pinda ni mtoto wa mkulima mwenzetu lakini kapoa sana hawezi fanya maamuzi mazito kama boss wake jk
   
 13. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hana lolote kazidi porojo bila matendo muda wa kusema tupo kwenye mchakato ulishapitwa na wakati,kwanza tangu nyerere mpaka leo!hana jipya bora arudi richmonduli mara mia, maana jamaa kwa kazi anaweza sana achana matatizo madogo madogo aliyo nayo ambayo yanarekebishika,kuliko mtoto wa mkulima,jamani ukukitaka utajiri huwezi kumuuliza masikini akusadie mawazo lazima umuulize tajiri aliwezaje kufika hapo,
   
Loading...