Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,732
- 40,839
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri, na yuko tayari kuchukua maamuzi magumu. Pingamizi kubwa ni kutoka kona fulani fulani ambazo zinaona kuwa Bw. RR amekuwa anti-govt or anti-CCM. Watetezi wake wanadokeza kuwa kama mambo anayosema (kupitia taasisi zake) yana ukweli na ana mawazo ya kuboresha elimu.. give it to him...
BIO YA RAKESH KWA UFUPI
Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!
What do you think?
BIO YA RAKESH KWA UFUPI
Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!
What do you think?