Mimi ninaipenda CHADEMA, Wewe Je?


CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
1,131
Likes
376
Points
180

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
1,131 376 180
Siipendi chadema Bali wana chadema. Hivi mwenyekiti Wa ccm oh sorry mwenyekiti Wa chadema huwa anakujaga humu jamvini? Maana zile topics za kuwa na data base ya wanachadema wote sijui ilifikia wapi. It was a good idea na ile ya kuaza kutengeneza mashina huku mitaani. Mimi nitajitahidi kutengeneza hata mashina manne na kila shina naweka laptop kwaajili ya kupata habari motomoto kutoka jamii forum. Nafkiri jamii forum ni shule tosha kwa mashina kuhusiana na elimu ya uraia
 

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
5,005
Likes
2,685
Points
280

1954

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
5,005 2,685 280
love chadema too. sioni ccm ikifika 2015 salama (QUOTE)


Hii ni hadithi ya FISI aliyemfuata binadamu kwa umbali mrefu akidhani mkono wa binadamu utadondoka. Lakini haukudondoka na mate ya FISI yakazidi kutiririka kama chemchem na akaamua kutafuta mifupa.
 

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
2,776
Likes
16
Points
135

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
2,776 16 135
- Tujifunze kuweka taifa mbele kwanza halafu vyama vya siasa na viongozi wake nyuma!


Es!
Mkuu hii elimu inabidi ianzie kwa CCM, kwani wao wangeweka maslai ya Taifa mbele tusingekuwa hapa tulipo! Angalia sasa kutanguliza maslahi ya chama kwa kuwakumbatia mafisadi badala ya Taifa ndo kunawachimbia kaburi na 'soon and very soon' wataelekea kwenye nyumba ya milele!
 

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
6,438
Likes
6,406
Points
280

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
6,438 6,406 280
Siichukii...lakini naipenda Tanzania zaidi.
Nawapenda Wa-TZ wenye uchungu wa ukweli na nchi hii. Hivyo nampenda saaaana Dr Slaa kwa vile yupo kwenye kundi hili.
Dr Slaa hata angekuwa CCM ningempenda, kama nilivyokuwa nampenda Mpendazoe wakati bado yuko kule.
 

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,995
Likes
476
Points
180

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,995 476 180
Ng'wanangwa uko sawa kabisa. Tuache ushabiki wa kinafiki hapa. Katika nchi ambayo katiba ilisha expire kama Tz, huwezi kusema eti unaweka mbele maslahi ya taifa mbele wakati uko nje ya chama cha siasa. Lazima kwanza utafute chama makini, ambayo imeonyesha dhamira ya dhati katika kutetea na kuyeendeleza maisha na maslahi ya wananchi wake. Hapa Ng'wanangwa ameeleza ukweli bila unafiki kuwa chama makini ni CHADEMA kutokana na sera zake za kuwaletea watz maendeleo. Inawezekana Ng'wanangwa kanywa mpaka maji ya bendera, lkn ujumbe wake ni wa msingi kwa wapenda maendeleo.
 
Joined
Oct 13, 2010
Messages
53
Likes
0
Points
0

mamtaresi

Member
Joined Oct 13, 2010
53 0 0
Nampenda zaidi slaan kwa sababu ya uzalendo wake ana uchungu na nchi waanzania wanaoishi maisha ya duni wakati mafisadi wanafurahia maisha na kodi za wanyonge slaa hata kama angekuwa chichiem ningempenda tu.
 

Kiherehere

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,809
Likes
251
Points
180

Kiherehere

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,809 251 180
CHADEMA sio mama yangu!!! MIMI NAPENDA UONGOZI NA WANACHAMA WALIVYO JIPANGA wa CHADEMA kinyume cha hapo WAKIPUYANGA mimi huyooooooooooo chama kingine.

Wawe makini kushikamana ndo sisi tuwe nyuma yao WAKILIKOROGA tu, "sitafanya biashara ya kumkanda mbwa kiuno"
 

Forum statistics

Threads 1,204,274
Members 457,226
Posts 28,148,828