Umuhimu wa Kila Mtanzania Kufuatilia Sheria za Bunge! Tusome Taratibu za Bunge!


N

niweze

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
1,008
Likes
2
Points
0
N

niweze

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
1,008 2 0
Tutumie Bunge na Sheria Zake Kuijenga Inchi Yetu. Tunajua CCM Watafanya Kila Njia Kuzuia Hoja kwa Kumtumia Spika Makinda Lakini Kunanjia za Kuwakamata CCM. Tutaona Sheria Walizozitunga Kama Watazitekeleza:
In view of that parliament can assumes the following roles: (Hii ni Kutoka Kwenye Web Link ya Bunge)
To pass laws for the good governance.
To provide, by giving legislative sanction to taxation and acquisition
of means to carrying out the work of the government.
To scrutinize government policy and administration, including
proposal for expenditure; and to debate major issues of the day.

91. –(I) Kutakuwa na Kamati ya Uongozi itakuwa na Wajumbe Wafuatao:
(a) Spika, ambaye atakuwa Mwenyekiti;
(b) Naibu Spika;
(c) Kiongozi wa Shunghuli za Serikali Bungeni au Mwakilishi wake;
(d) Kiongozi wa Upinzani Bungeni au Mwakilishi wake;
(e) Wenyeviti wa Kamati za Kudumu;
(f) Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Malengo: -Urekebishaji wa Katiba ya Inchi Kuanzia Uchaguzi na Uteuliwaji wa Wakuu wa Mikoa,
Majaji, Waziri Mkuu na Mawaziri
-Jinsi Gani ya Kuzia Bill Zisizo na Manufaa kwa Inchi
-Jinsi ya Kulazimisha Wizara na Mikoa Kuonyesha Matumizi ya Fedha
 

Forum statistics

Threads 1,236,869
Members 475,318
Posts 29,270,366