maendeleo ya nchi huletwa kwa kuwa na mipango inayoeweka vema kwa wananchi, zaman enzi za mwalimu kulikuawa na mipango ya maendeleo ya muda mfupi na mrefu kulikuwa na dira ya elimu kwa taifa.
wana JF nisaidieni, mipango na dira ya maendeleo ya nchi yetu kwa sasa ni nini?
wana JF nisaidieni, mipango na dira ya maendeleo ya nchi yetu kwa sasa ni nini?