Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mojawapo ya mambo ambayo baadhi ya vigogo ndani ya chama wanajilaumu sana kuwa yalichangia CCM kufanya vibaya ni "uhuru wa vyombo vya habari". Kuna imani kuwa miaka mitano iliyopita vyombo vya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa baraza jipya la mawaziri, walioongezeka kutoka 47 mpaka 50, kuna makosa mengi ya kiufundi ambayo Kikwete ameyafanya. Hii ikiwemo kutoa wizara nyeti sana kwa uchumi na maendeleo ya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa yeyote yule ambaye amekuwa akifuatilia mwenendo wa siasa hapa nchini, atakubaliana nami ya kwamba baraza la mawaziri lililotangazwa hivi leo, limekuwa ni pigo kubwa kwa wanamtandao maslahi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona apa kuna namna haya majembe mawili kuyaweka wizara moja? Labda wanataka wahitilafiane wenyewe kwa wenyewe alafu akina EL wabaki kupiga makofi
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Uchaguzi Mkuu umekwisha, kilichobaki ni historia iliyowekwa na uchaguzi huo. Rais Jakaya Kikwete akizindua bunge la kumi amesema; uchaguzi huu umeacha majeraha kadhaa, kubwa sana likiwa la udini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete leo ametangaza baraza jipya la mawaziri. Katika baraza hilo, Rais Kikwete amewatema baadhi ya mawaziri na manaibu mawaziri ambao wameshika wadhifa huo kwa muda mrefu wakiwamo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuteuliwa kwa Mh. William Lukuvi kuwa waziri kunaiweka nafasi ya ukuu wa mkoa wazi. Sijui tutegemee nini kwa ajaye.
0 Reactions
33 Replies
4K Views
WANASHERIA wote walio na maarifa timamu hapa Tanzania na duniani kwa ujumla wanakubaliana angalau katika jambo moja muhimu kuhusu uendeshaji wa nchi. Jambo hilo ni kwamba agizo kutoka mamlaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani, Napenda kujua tu kuhusu madhara au manufaa yatokanayo na muundo huu mpya wa serikali kwa wafanyakazi wa idara zilizohamishwa je watahama? Na wanakohamia kama watahama watahama na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKATI baadhi ya Watanzania wakifurahia kutangazwa kwa baraza la mawaziri huku baadhi yao wakionekana kufurahia Uteuzi wa Waziri wa Ujenzi John Magufuli na ule wa Prof. Anna Tibaijuka, uteuzi huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NYUKI na Mbu ni wadudu wenye kung’ata na kusababisha maumivu. Kuumwa (kung’atwa) na wadudu hawa kunakera na kuhatarisha maisha. Katika mchakato wa maisha yao, hatimaye mbu husababisha malaria au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa nafikiri umepaweka sawa "WIZARA YA UJENZI" Pombe + Kyembe, no doubt it is a good match. Congratulation JK.
0 Reactions
1 Replies
957 Views
WANASHERIA wote walio na maarifa timamu hapa Tanzania na duniani kwa ujumla wanakubaliana angalau katika jambo moja muhimu kuhusu uendeshaji wa nchi. Jambo hilo ni kwamba agizo kutoka mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Nimesoma gazeti moja litokalo kila wiki leo (Mwanahalisi-ukurasa wa pili). Gazeti hilo pamoja na mambo mengine limeeleza madai ambayo yameorodheshwa na Viongozi wa CHADEMA katika kikao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi profesa lipumba kasahuliwa kwenye baraza
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I am in an opinion that the wish and will of those who have the nodes of changes in our nation is at frail , there should be a very... hard backlash of the need for constitution from what we call...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Rais wa JMT Dr. Jakaya M. Kikwete ameisha tangaza baraza lake la Mawaziri. Sasa hebu tupeni hilo la CDM wao wangekuwa na wizara ngapi na mawaziri wangekuwa wakina nani? 1. Waziri Mkuu - F...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa maoni yangu Prof. Mwakyusa angeachwa aendelee na wizara ya Afya, japokuwa ni kimya naona kama aliimudu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UTAMADUNI.... Kwani kikwete ametangaza wizara zake kama amekurupuka usingizini due hakuna wizara aliyoipangia kusimamia shughuli za utamaduni na wasanii. au ndo tumeachwa huria?? last era...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…