Dar kupata mkuu wa mkoa mwanamke!


Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
14
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 14 35
Baada ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DAR kupata Uwaziri kwenye baraza jipya la serikali ya Muungano wa Tanzania.Duru za kiungozi na kiutawala zinasema kuwa kuna mpango mkakati ambao unasubiri kuridhiwa na Mkuu wa nchi ili kumteua Moja ya wanawake makini kuungoza mkoa huo wa DAR.Idha kuna timu ya watu wa wawili ikiongozwa na kigogo mmoja wa serikali(waziri) ambao ndo wanakazi ya kuhakikisha Mkuu wa kaja anamchagua mwanamke kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ili kudhibitishia umma kuwa serikali ya awamu ya nne ina nia dhabiti ya kuwainua wanawake katika nyanja mbalimali za kiuongozi wa juu serikalini.
Hii unaweza ukaichukulia kama TETESI ila muda si mrefu utagundua hii sio tetesi bali ndo habari kamili.
Asante.
 

Forum statistics

Threads 1,237,560
Members 475,562
Posts 29,293,631