WHAT A MISMATCH! It's TUNDU LISSU vs. WILLIAM LUKUVI Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WHAT A MISMATCH! It's TUNDU LISSU vs. WILLIAM LUKUVI Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Nov 24, 2010.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa baraza jipya la mawaziri, walioongezeka kutoka 47 mpaka 50, kuna makosa mengi ya kiufundi ambayo Kikwete ameyafanya.

  Hii ikiwemo kutoa wizara nyeti sana kwa uchumi na maendeleo ya nchi kwa mawaziri waliokuwa na uwezo mdogo wa kazi. Hawa ni -- Mustafa Mkulo (fedha), William Ngeleja (Nishati na Madini) na Ezekiel Maige (Maliasili na Utalii).

  Lakini kubwa kuliko zote ni kwa Kikwete kumteua William Lukuvi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia Sera, Uratibu na Bunge.

  Kwa maana nyingine, Lukuvi ndiyo atakuwa CHIEF WHIP wa serikali Bungeni mwenye kazi kubwa kuwaweka sawa wabunge wa CCM waiunge mkono serikali na ku-counter makombora na strategy za kambi ya upinzani.

  CHIEF WHIP wa kambi ya upinzani ni the magnificent TUNDU LISSU.

  Hii ina maana kuwa Bungeni itakuwa ni Tundi Lissu vs. William Lukuvi. What a mismatch!

  Kweli Kikwete na CCM ni mabingwa wa kujifunga own goals...
   
 2. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  If you think it a lose situation kwa Lukuvi you are damn wrong...labda kama hoja ni za kingereza ila Lukuvi is the right person kwa bunge hili
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Labda........let us wait and see.............. to me it is lose situation kwa Lukuvi
   
 4. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Lukuvi alisha kuwa katika Wizara hiyo 2000-2005 !Ana ufahamu sana na wizara hiyo!!
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Lukuvi huyu huyu?
   
 6. t

  togo Member

  #6
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani lukuvi hajui kiingereza,why useme labda iwe kiingereza
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Gembe,

  Hapa kuna issue ya ujuzi wa sheria. Zitto alilia na Phillip Marmo jinsi Marmo alivyokuwa anampiga danadana za technicalities, mara sijui muswada (wa Zitto on leadership ethics) haujachapwa kwenye Government Gazette, mara kikashuka kikapanda, ili mradi alitumia kila mbinu ya kisheria kuuua muswada ule.

  Sasa Lukuvi anajua sheria na kanuni za bunge kihivyo? Hii kazi inamtaka mwanasheria aliyekubuhu ndiyo maana CHADEMA wamemuweka Lissu hapo.
   
 8. K

  KAMARADE Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kujiamini, Uzoefu wa bunge na Uelewa wa mfumo wa uongozi na utawala wa Lukuvi ndio zitaweza kudhibiti Emotions and mostly Irrational activism ya Tundu Lissu.....
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,814
  Trophy Points: 280
  Sioni ubaya wa lukuvi kuwa kwenye wizara hiyo. Alishafanya kazi kwenye wizara hiyo na hatukuona ubaya wowote kwa lukuvi. Tumpe muda tuone atafanya nini. Akichemsha si mkwere atamtimua!!!!!! Sasa taabu iko wapi? Kushindwa kwa lukuvi si diyo anguko la ccm? Au wewe hupendi?
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Nov 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Fafanua hapo kwenye red!
   
 11. E

  EL+RA=UFISADI Member

  #11
  Nov 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hehee, Kikwete ana experience ya kuwa kiongozi mkubwa serikalini kwa karibu miaka 30 sasa. Uzoefu huo wa Kikwete umemsaidia nini? Lukuvi labda atamzidi Tundu Lissu kwenye kuvaa nguo na kutafuna mdomo akiwa Bungeni, mpaka wenzake wamempa jina la utani la "Profesa!"
   
 12. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu hili nimeliona nikasema kazi itakuwapo mwakani
   
 13. T

  The Informer Senior Member

  #13
  Nov 24, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani itabidi Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ndiyo awe de facto Chief Whip wa serikali Bungeni ili asaidie kujibu hoja za serikali. Kumpambanisha William Lukuvi na Tundu Lissu ni sawasawa na kumfananisha Yusuf Makamba na Dk. Willibrod Slaa. Kwa mtizamo wangu, Mathias Chikawe angeisadia serikali zaidi kama chief whip Bungeni. I can't wait for the Bunge show to begin in February and beyond!
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i think Lukuvi is a good one for the position!!
   
 15. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45

  Lukuvi fisadi wa elimu mkuu wa mkoa wa dar es salaam
  he has no credibility at all when compared with Tundu Lissu!
   
 16. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Acid justify your position !!
   
 17. F

  Ferds JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kifafanuliwe kipi kisichoeleka hapo au ushabiki mbele uhalisia nyuma
   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi nyie, mlikua wapi tangu jana?? Inamaana mnasema Wapinzani wakizama tu kimombo basi tayari CCM tumepoteza, na kwamba lugha ya marafiki wa mahakama nayo ikijiri basi ndio kabisa Lissu atakua amelitia TUNDU chama chetu eehh???

  Kama hivyo vivyo ndivyo basi nisubirini kidogo nirudi pale magogoni kuchangisha upya karata. Niko unpredictable naweza kabisa nikamswap Lukuvi na 6 mara moja ili tuone hao CHADEMA watapitia wapi tena.
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Wapi nimesema chochote kuhusu kimombo hapo?
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu

  Ile position sio kama inavyotakiwa iwe... pale amewekwa masimenti na kazi yake ni mechanical... lukuvi is "that man"... he is right for the position

  kumbuka pia kwamba level ya sophistication kenye bunge letu si kihivyo
   
Loading...