Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mnyika kuendelea na hoja yake Sunday, 09 January 2011 20:52 Claud Mshana MBUNGE wa Ubungo kupitia Chadema, John Mnyika, amesema ataendelea na mpango...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
harakati zilianzia mt.meru hospt hadi viwanja vya NMC
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM Academic Staff Assembly JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDASA) inawaletea: KONGAMANO LA KATIBA MADA KUU...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katiba Mpya siyo mali ya chama cho chote cha siasa,wala serikali iliyoko madarakani, HAPANA!!!!!!- ni mali na msitakabali wa Watanzania wote, kwa pamoja wapatao miliono 40 waliopo sasa; kwa faida...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Source ITV: Taarifa ya saa 2 usiku.
0 Reactions
108 Replies
9K Views
Ndugu zangu wanaJF, Kwenye tamko lake kuhusu mauaji yaliyofanywa na jeshi la polisi jijini arusha, chadema inaonyesha kuwa mkutano waliofanya ulikuwa halali kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwa...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Tusizitarajie kwa UONGOZI huu wa Jeshi la POLISI ulioko madarakani kwa sasa.. Wengi wao WAMESOMEA ISRAEL, ambako utulizaji wa Wapalestine unafanyika kwa misingi yote ya ukiukaji haki za binadamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://http://www.youtube.com/watch?v=dvN66b63gVA&feature=player_embedded Na huo ndo uzuri wa CCM. Kidumu chama cha mapinduzi. Adumu Nakaaya.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kaka wa hayati njuguna mkenya alieuwawa na polisi arusha,kisha kumbatiza George waitara,amejitokeza katika mazishi ya Denis huko rombo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TAMKO LA CHADEMA - GEITA KULAANI UTUMIAJI WA NGUVU ZA ZIADA KUDHIBITI MAANDAMANO YA TEREHE 05.01.2011 MJINI ARUSHA Ndugu watanzania na wapenda Amani wote. Uongozi wa Chadema na jumuiya zake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Makamba utaona mwisho wako ni Segera unapo elekea kwenu Bumbuli Uking'aza pua Moshi mpaka Arusha utajuta. Heko machalii ujumbe kaupata.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
They appoved the said payment to the former customers of Ponzi scheme which was led by Mr Madoff. Source: REUTERS
0 Reactions
0 Replies
835 Views
mambo yalianzia mt. meru hosp.hadi viwanja vya NMC
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona wengi mnapotea na kupoteza muelekeo wa kisiasa ,jeshi la polisi ni kitengo au ni chombo cha dola,sasa inapotokea migongano na raia kunakuwa na mivutano.Hivyo napenda wengi wenu mfahamu kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni hukoo mbeya,wametumia risasi za moto kuzuia vurugu. wawili wamefariki,mmoja risasi kichwani. Sababu,......?tusuburi wanahabari watwambie Source:wapo radio
0 Reactions
13 Replies
2K Views
@font-face { font-family: "MS 明朝"; }@font-face { font-family: "MS 明朝"; }@font-face { font-family: "Cambria"; }p.MsoNormal...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari za kuaminika baada ya kujua kua chama cha kijani jana kisingekua na wafuasi baada ya wanamapinduzi wa nhi na sisi wana arusha kua tuko katika majonzo na wao walikua wafanye maandamano ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yaliyotokea Arusha ni kulipiza kisasi kwa Kikwete na CCM? KUNA mfanano wa hali ya juu kati ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001 na ya Arusha yaliyotokea wiki iliyopita. Kila kitu kinaelekea kufanana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mwenye taarifa atujulishe huyu mama yuko wapi baada ya kutema kwa kutochaguliwa tena viti maalum baada ya bunge lililopita kwani CUF ilimchakachua Pension yake kwa ahadi kumpa ubunge tena...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna machangudowa wa kisiasa ambao sisi kila siku tunasema Mkwere alikuwa anatakiwa aishie kwenye cheo cha UDC walidhani tuna chuki binafsi, sasa angalieni picha hii halafu toa maoni yako. na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…