Haki za kiraia na polisi tanzania... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki za kiraia na polisi tanzania...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamageuko, Jan 13, 2011.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Tusizitarajie kwa UONGOZI huu wa Jeshi la POLISI ulioko madarakani kwa sasa..
  Wengi wao WAMESOMEA ISRAEL, ambako utulizaji wa Wapalestine unafanyika kwa misingi yote ya ukiukaji haki za binadamu. Si risasi za moto tu hutumika bali kila aina ya silaha na vifaa ikiwamo Vifaru, Helcopter Gunship na Ndege za kivita na magari ya deraya. Vikosi vya kutuliza ghasia FFU tazameni walikosomea makamanda wake mtapata jawabu. (HAPO NDIPO MTAJUA KWANINI MWALIMU ALIONA MBALI KUHUSU WAYAHUDI na AKATUBADILISHIA KWA WAKANADA NA WACHINA!) Kisha tumerudi kule alikokataa.

  WANASEMA MWANAFUNZI HAMSHINDI MWALIMU WAKE BALI HUFANANA NAYE!!
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Any intelligent fool can make things bigger and more complex... It takes a touch of genius - and a lot of courage to move in the opposite direction.

   
Loading...