Ujumbe wa Machalii kwa Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa Machalii kwa Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fidel80, Jan 12, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Makamba utaona mwisho wako ni Segera unapo elekea kwenu Bumbuli
  Uking'aza pua Moshi mpaka Arusha utajuta.
  Heko machalii ujumbe kaupata.
   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hivi Makamba anaweza hata kukimbia, mfano akikurupushwa?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahaha anaweza ondoka akaongeza nundu nyingine usoni lol
   
 4. L

  Libaba Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kazeeka vibaya
   
 5. n

  nyanungu magena Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ngoja nikuchekeshe kipindi kile ambacho wananchi wa tarime walifanya uchaguzi wa kumpata mbunge baada ya wangwe kufariki alienda uko kwenye kampeni bwana akaanza kutukana wale jamaa eti ******* na kuingiza vidole katika wacha wamkatishie walitaka kumtahili polisi ndo waliomsaidia maana alikuwa anaondoka ivo,yule ana rana ya ubakaji inamsumbua.
   
 6. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hakika tutazoa haja kubwa siku akijaribu
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Aking'aa Arusha au Moshi anaweza ongeza nundu ingine usoni.

  Makamba bora ustaafu kwa manufaa ya wana CCM
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Dumu maisha makamba, ili chama liendelee kufa vizuri.Ongeza malaya wengi kama chitanda kila wilaya ili mwisho wenu ufike vizuri na mapema
   
 9. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi lile nundu ni la nini, mbona haliishi? Sio la kishirikina kweli? Maana hawa jamaa si waamini kabisa!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wanasema ni kinga wasimtimue kwenye chama hata aongee pumba vp hawawezi mtimua
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hawa machalii wakisema wanakuchinja wanachinja kweli hawatanii
   
 12. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ole wao akina makamba ba wengine wenye mawazo kama yake na JK, siku zao zinahesabika na watajibu yote itakapofika muda wakabaki wanatawala Msasani tu na kukataa kutoka kama Dgabo. Shauri yenu, nchi imewashinda na kutukanana nyie kwa nyie hatukusahaurishi mliyotutenda,
   
 13. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Segera atapita...mwisho Mombo maana ndio pale njia panda kuelekea Soni...Lushoto...Bumbuli!!
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,318
  Likes Received: 5,610
  Trophy Points: 280
  Makambaaaaa....angeomba kupumzika hii karne sio yake shule yake ndogo na upeo wake mdogo sana amezungukwa na wennye upeo mkubwa sana na siasa bongo kwa ccm mmmm ngumu sana heri apumzike maana tuendako ccm wanaweza kupoteza mvutoo na hata kuja ukosa uraisi kabisa soma alama nyakati ukapumzike baba uliofanya yanakutosha ww na watoto wako na chama chako...hakuna ataekukumbuka!!
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Akiwa Mkuu wa mkoa hakuwa nalo hilo nundu. Alipopata ukatibu mkuu wa sisiem nundu likaibuka. Au alikurupushwa nini!! Huyu mzee nasikia ni hatari kwa nonino....
   
Loading...