Kama kuna mtu bado anadhani JK ni mtu makini basi afikilie upya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kuna mtu bado anadhani JK ni mtu makini basi afikilie upya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matola, Jan 13, 2011.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Kuna machangudowa wa kisiasa ambao sisi kila siku tunasema Mkwere alikuwa anatakiwa aishie kwenye cheo cha UDC walidhani tuna chuki binafsi, sasa angalieni picha hii halafu toa maoni yako. na ningependa zaidi maoni ya wana CCM kama akina Mwiba. Natoa hoja.
  View attachment 20254
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmh,jamani
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!!
   
 4. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Hapa tumepatikana. Na tukio hili si la kwanza na nina hakika halitakuwa la mwisho. Mungu atusaidie.
   
 5. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mwalimu Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa Mkwere ni "Muhuni" hapaswi kuwa Rais. Cha kushangaza miaka kumi baadaye, 2005, watanzania huku wakiwa na "tip" ya Mwalimu, walijifanya hamnazo na kumchagua Mkwere. Kama hiyo haitoshi, miaka 15 baadaye, 2010, wakamchagua tena. Uhuni ni kama ugonjwa wa kurithi, huwa hauponi. Hapa wadau tumeshaliwa kutokana na tabia yetu Watanzania kutodhiti au kutotunza taarifa au ujuzi (knowledge mismanagement).
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hiyo cheki sijaielewa jamani; mlipwaji ni nani?
  Maelezo kidogo wakuu.
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Mbona inasomeka two hundreds thousands lakini tarakimu zinaonyesha three...? sijaelewa au sijui labda au ndo uch... unaousemea?
   
Loading...