Kaka wa Mkenya aliyeuwawa na polisi ajitokeza mazishi rombo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaka wa Mkenya aliyeuwawa na polisi ajitokeza mazishi rombo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jan 13, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka wa hayati njuguna mkenya alieuwawa na polisi arusha,kisha kumbatiza George waitara,amejitokeza katika mazishi ya Denis huko rombo
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Halafu ikawaje? Na kwa nini alikuja?
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Jamani mnauliza kwa nini amekuja???ina maana hatakiwa kuja kumchukua mwili wa mdogo wake na kufanya utaratibu w akumzika?
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  bado sijaelewa unachoongea
   
 5. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Ajabu moja! Paul Njuguna, Nyumbani kwao eneo la Kikuyu wanasema yuko Darisalama!! Hawana taarifa ya kifo!!!
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Eheee!!!!!!!!
   
 7. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni hivi paul njuguna alikuwa akiishi kajiado ila kijijini kwao ni Nakuru,leo rombo amefika kakae ili kuanza kufuatilia taratibu kwa ajili ya mazishi,akaona ni busara kufika rombo kwenye mazishi ya shujaa wetu,maana waliuwawa kwenye mazingira yanayofanana,yaani innocent blood,pia mkumbuke kuwa cdm wako makini sana katika haya maswala
   
Loading...