Mbunge Mh. Saverina Silvanus Mwijage Viti Maalum CUF yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Mh. Saverina Silvanus Mwijage Viti Maalum CUF yuko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kenge (Eng), Jan 13, 2011.

 1. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Naomba mwenye taarifa atujulishe huyu mama yuko wapi baada ya kutema kwa kutochaguliwa tena viti maalum baada ya bunge lililopita kwani CUF ilimchakachua Pension yake kwa ahadi kumpa ubunge tena na ikawa ndivyo sivyo!!!!
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!I don't know whereabout of this former Member of Parliament!!
   
 3. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Labda yuko chumbani.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ameolewa!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Du!!!!!
   
 6. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Je na yule Dada Margareth Sakaya naye yupo?
   
 7. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Pensheni walisaini CUF au alisaini yeye? Hapo lazima itakuwa alichakachuliwa na Tambwe Viza.... Inawezekana ana majukumu maalumu, embu jaribu kupita ofisi za CUF buguruni umuulizie.. Ila uwe na uhakika hakuna maandamano au kamkutano katakakokuwa kanawavutia polisi kufika eneo hilo!
   
Loading...