ccm arusha nao waandamana jumapili je,,,,,,,,,,,,,,,,,,

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
habari za kuaminika baada ya kujua kua chama cha kijani jana kisingekua na wafuasi baada ya wanamapinduzi wa nhi na sisi wana arusha kua tuko katika majonzo na wao walikua wafanye maandamano ya mani eti kulaani mauaji yaliyosababishwa na chama chenye nguvu ya umma cdm lakini habari za kuaminika toka ofisi ndogo ya kaloleni ni kua wao nao wataandamana kwani wao ndio wanaotoa kibali na wao ndio wanadai wanayo haki sasa kazi ipo watapata watu na huenda mpaka sasa wanaomba fungu la kuhonga watu ila sisi wana arausha tuko katika hatua nyingine
 
Je, unataka kujua nini watu watasema ndo uandamane? Kama unaamini uko sahihi, endelea.
 
wataongozwa na Kitanda na hawara yake au. Tutapenda kumwona mstari wa mbele
 
hapana comrade sina na wala sifikili kuandamana najua waliokua na haki hiyo hawakupewa nami siko tayari kuuuza utu na haki yangu kwao
 
habari za kuaminika baada ya kujua kua chama cha kijani jana kisingekua na wafuasi baada ya wanamapinduzi wa nhi na sisi wana arusha kua tuko katika majonzo na wao walikua wafanye maandamano ya mani eti kulaani mauaji yaliyosababishwa na chama chenye nguvu ya umma cdm lakini habari za kuaminika toka ofisi ndogo ya kaloleni ni kua wao nao wataandamana kwani wao ndio wanaotoa kibali na wao ndio wanadai wanayo haki sasa kazi ipo watapata watu na huenda mpaka sasa wanaomba fungu la kuhonga watu ila sisi wana arausha tuko katika hatua nyingine
Una tatizo na maandamano yao?
 
ha ha haaaa.
Acha mi nicheke mwaya!
Ama kweli Mzee Kolimba alimaliza yote...kukosa dira kubaya sana!
 
Back
Top Bottom