sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini...
Sijaelewa mantiki ya CCM kuammua kwenda kwa wananchi, nchi nzima kujitangaza kwamba imejivua gamba (CC na Sekretarieti bila shaka ndo vilikuwa gamba) wakati mambo kadha wa kadha yanabaki bila...
Wana JF
Leo nilipata nafasi kupitia ofisi ya CCM nikawakuta wanachama wakijadili mabadiliko yaliofanywa na CCM kwenye uongozi wake. Wengi waliokuwa wanachangia walikuwa wanamtaja Slaa kama...
Hellen Hunter
Nyerere's role in the affair is less clear. In mid-1963 when Hanga and several other ASP leaders first approached him for arms and financial support, the Tanganyika President...
na Mauwa Mohammed, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanzisha mpango wa utoaji wa gesi ya kupikia bure kwa wananchi kama moja ya hatua za kudhibititi ukataji wa miti katika...
Binafsi nimekuwa mpenzi na msomaji mzuri sana wa hili Gazeti tangia lilipoanzishwa na ilikuwa ni lazima kila wiki ninunue Nakala yangu.Ilifikia hatua nikalichukia nakuacha kulinunua kabisa sababu...
Kitendo cha kamati na halmashauri kuu ya CCM kuamua kuwachukulia hatua E.L; R.A; na E.C bila ya kutoa kwao kwanza orodha ya mambo wanayotuhumiwa nayo na kuwataka kuwasirisha utetezi wao kwenye...
Waandishi Wetu, Dodoma
Aprili 13, 2011
Yumo pia Chenge, sasa watakiwa kujiuzulu
Werema, Malecela, Meghji wawamaliza
Richmond, Kagoda na Rada zawaponza
UNAWEZA kusema kwamba huu ni...
Ni hivi majuzi tu, Bwana JK alitangaza CCM kujivua Magamba kwa kuwatimua baadhi ya viongozi.
Mimi nasema CCM kujivua magamba tu haitoshi ila naona ni bora mjichune ngozi kabisa ili kuhakikisha...
President Jakaya Kikwete is set to announce a bail out package worth billions of shillings to rescue local companies that have been hit hard by the global economic crisis.
The Government's...
wadau nimejaribu kuperuzi siajona thread ya mtu akiwasifu CCM kwa hatua waliofikia ya kujisafisha mbele ya watanzania, naomba niwe wa kwanza kuwapa BRAVOOOOOOO
wamesikia kauli za walalahoi na...
Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa...
MTANZANIA
www. newhabari.com/2011/04/10/katiba-yatikisa-nchi/
Ikulu yakanusha uvumi
Hata hivyo, akizungumza na Mtanzania Jumapili, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alikanusha...
Tanzania ni nchi ambayo watoto wake wengi hawana future kabisa; wala hawafundishiwa kuwa binadamu wengi wa leo hawaishi kwenye mapango au chini ya miti.
Standard Three pupils of Chinyarira...
Kuna tetesi kwamba baada ya Chama Tawala kuona RA anatafuna kila senti ya serikali na wananchi wake kwa manufaa yake binafsi bila kugawana "kikamilifu" na wenzake, huku Chama kikichukua LAWAMA...
Juzi katika kile CCM ilichoita kujivua gamba, nilimsikia mzee Chiligati akieleza bayana kuwa wale watu wote wanaotajwatajwa kwenye kashfa za Richmondi na Dowans wajipime na kuchukua hatua za...
*Wapeleka ujumbe wa NEC mkoa kwa mkoa
*Nape asema watapambana hadi washinde
Na Edmund Mihale, Dodoma
CHAMA Cha Mpinduzi (CCM) kimeanza ziara mikoani kupeleka ujumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM kwa...