By Tom Mosoba and Edward Qorro
Mr Utouh: His 2007/8 audit report has ruffled some parastatals feathers
Some senior official of parastatals are reportedly unhappy with the his report over...
He who knows not and knows not that he knows not is a fool
Hii ni nukuu katika kitabu cha mwandishi nguli wa Nigeria Chinua Achebe inayopatikana kwenye kitabu chake kiitwacho A Man...
Hatimaye Katibu Mkuu mpya wa CCM, amekiri chama chake kuwa maficho ya Mafisadi.
CCM inatakiwa kujengwa upya kabisa na ili hayo yaweze kufanikiwa, kuna kila sababu za kuwa na watu safi, hivyo...
Amini Usiamini, Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa nafikiri wa mji mkongwe bi AMINA AMOUR ameuliza swali bungeni kwamba Dar Es Salaam imekua na magari mengi na...
UVCCM tuko tayari kushambulia pamoja na kujibu hoja za chadema ambazo zimepitwa na wakati. JK akiwa Rubani, 2012 ni mwaka wetu, kwani kasi ya CDM itakuwa imekwisha na wananchi kuwatambua kuwa...
naomba kuwasilisha mada ya kusema spika mstaafu, waziri wa afrika mashariki na mbunge wa urambo mashariki mh sana samuel sitta naye kumbe ni nguvu ya soda.
nadiriki kusema haya kwa kufuatia...
Waungwana naweka hoja hii mbele yetu tujuzane, binafsi nimepigwa butwaa eti mshauri wa RAHISI JK masuala ya siasa katiwa nguvuni kwa kushindwa kuweka wazi mali na madeni aliyonayo si mwizi huyu...
Nakumbuka katika sherehe za kuchangia kwaya moja Sita alitamka kuwa nchi inayumbishwa na mafisadi wasiozidi kumi ila akaonya kuwa mwisho wao itakuwa kabla ya 2012. Je alijua hatua za...
What Chelsea's Fernando Torres wouldn't give for a goal celebration
The £50m striker has lost the sense of himself as one of the elite strikers and is having to recover it under fearsome...
Source: The citizen, Wednesday, 13 April 2011
By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter, Dodoma.
The newly reorganised Chama Cha Mapinduzi (CCM) yesterday pledged to cleanse itself by making...
Chama cha Mapinduzi ni sawa na gari kuukuu linalotoa moshi mwingi, na fundi makanika anajaribu kufanya tune up haisaidii ndo linazidi kutoa moshi zaidi na kushindwa pass ya emission test.
Nyoka...
Wednesday, 13 April 2011 20:53
Midraji Ibrahim na Joyce Mmasi, Dodoma
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amesema watuhumiwa wa ufisadi ndani ya chama hicho, wanapaswa kusahau...
Wednesday, 13 April 2011 20:59
Raymond Kaminyoge
Mwananchi
MSAIDIZI wa Rais Jakaya Kikwete, katika masuala ya Siasa, Rajabu Luhwavi jana alikamatwa na polisi na kufikishwa mbele ya Baraza la...
Chama Cha Mapinduzi kwa mara nyingine kinawahadaa walipa kodi kwa kusema kwamba viongozi Mafisadi waliojikita ndani ya chama hicho na kukifadhili wataachia ngazi walizonazo na kukiacha chama hicho...
The Parliamentary Accounts Committee, PAC, under the chairmanship of the Bariadi East Member of Parliament (for the United Democratic Party), Mr John Cheyo has critically examined the Ministry of...
Wakuu,
Nipo maeneo ambayo huenda nikawapasha kidogo juu ya nini kinaendelea hapa, naweza kuwa natoweka online lakini nitawapa dondoo za kinachoendelea.
Wakuu hapa wanajadili nini kifanyike dhidi...
sijawahi kuwaona mama karume akibadilishana mawazo au kutembelea na mama nyerere.w
sijawahi kumuona mwanasiasa machachari Makongoro Nyerere kukutana na familia ya Karume.
MAMA KARUME HUMUONA SANA...
* Yajipanga kutumia Mungiki kuvuruga amani
NA MWANDISHI WETU
Gazeti la Uhuru
WAKATI CHADEMA ikitangaza kuanza maandamano ya nchi nzima kupinga muswada wa kuruhusu kuundwa tume ya kupokea maoni...
Wakuu, hivi ile report ya milipuko ya Gongo la mboto "GOMZ" itakuwa tayari? Maana waziri wa ulinzi Mwinyi alisema anaisubiri kisha atachukua uamuzi? I dont know when it will be out, ama tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.