Jengo la TPSPF Masaki linawaka moto

regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
51
Wanajf hivi navoandika jengo la tpsf mwaya rd masaki linawaka moto. Nitawajuza zaidi baadae
 
Wanajf hivi navoandika jengo la tpsf mwaya rd masaki linawaka moto. Nitawajuza zaidi baadae

Yale majihela waliyopiga wakati wa matching grants ndio wameamua kuunguza ushahidi, miswahili bana.
 
Zimamoto wa ultimate waliwasili mapema wakifuatiwa na mafundi wa tanesco. Faya wa jiji wamekuja moto umezimwa. Big up ultimate!
 
Back
Top Bottom