Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by superfisadi, Apr 12, 2011.

 1. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
  hana jipya, watua wanakuf a njaa hospitali hakuna madawa barabara zinajengwa feki kama ya kilwa road yeye anabakia kupigia vimini makelele? wtf
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kuna picha za hivyo vimini?
   
 4. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eti hihi vidude vya miguuni vinaashiria nini??

  View attachment 27157
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Mhe. Ndugai. Huo ndiyo msimamo tunaotaka.
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  maana yake ni kuwa wanapiga miguu yote miwili kama LAMPARD
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ndugai bwana...haya wamekusikia........
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,752
  Trophy Points: 280
  Yaani mavazi haya hayaruhusiwi bungeni!!! Basi labda waanze kuvaa Burka na niqab. Na vikuku si ajabu vitapigwa marufuku bungeni!
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Vinaashiria upatikanaji wa mtandao maarufu wa naniii.
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Hawa wamevaa bomba tu....tatizo hivyo vishanga vya mguuni....niliwai sikia ufaransa ukivaa hvyo unamaanisha wewe ni msagaji...but sijaifanyia utafiti sana...kama kuna mtu anazodata kamili anipe...........
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,752
  Trophy Points: 280
  Wabunge wote wanawake waanze kuvaa namna hii katika vikao vyote vya Bunge.
  [​IMG]
   
 12. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hata nchi za kiarabu hawavai hvyo.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
  mwishoni watasema lazima mtu avae chupi ya aina fulani ndio ataruhusiwa, huyu mama ana wivu tu, si ana hela ? aende akafanye plastic surgery huko
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  He! Yamekuwa hayo tena...
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
 17. Mvuni

  Mvuni JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  aaaaaa! Shanga tena miguuni... Wameharibu mchuzi hao
   
 18. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  duh, wewe ivuga unamuita mh. Ndugai mama???
   
 19. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  anasema zisizohitajika ni zile zinazoonyesha body structure nadhani zinaamsha mihemko
   
 20. K

  KIBE JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa wabunge au wasagaji? Uvaaji huu hasa kuvaa vimikufuu hadi miguuni ni uhuni na uvaaji wa machangudoa. Ndo tatizo la viti vya upendeleo kwa wanawake kila mtu anaaingia bungeni wanaaishi kuchukua posho tu hakuna chochote wanacho changia .
  Pumbavu zao wanakula ela zetu tu
   
Loading...