Ccm jivueni na ngozi , magamba hayatoshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm jivueni na ngozi , magamba hayatoshi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaNanii, Apr 14, 2011.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ni hivi majuzi tu, Bwana JK alitangaza CCM kujivua Magamba kwa kuwatimua baadhi ya viongozi.

  Mimi nasema CCM kujivua magamba tu haitoshi ila naona ni bora mjichune ngozi kabisa ili kuhakikisha hakuna fisadi aliebaki ndani ya chama !

  Je niwatajie ngozi chafu ndani ya chama ni ipi ili muanze kuichuna ??? Niseme nisisemeee...!
   
Loading...